Mambo ya Ulaya bhana. Willow Smith ampongeza mamake kwa kuchepuka

Hivi Willow ni mtoto wa kike au sijaelewa hapo
Mkuu hii wala isikuumize kichwa. Hii familia hata hao wakiume ni sawa na wa kike tu maana wanat!wa sana. Hivo wee chukulia wote ni wa kike including huyo baba yao.
 
kuna kipindi jada alikiri kuwa na tatizo la kupenda ngono kupita kiasi, will smith itakuwa kachoka kufanywa sex toy.
Kwamba mkewe nae alikuwa ni kicheche jamaa analipiza ama?
Wote wawili walishakuwa wahuni tu mbona, Will smith mpaka alizaa nje kabla ya kukutana na Jada, Jada nae alikuwa na kundi la wahuni kina Queen Latipha yule msagaji maarufu na bado ni marafiki
 
Mwanamke Sio wa kupenda sana ilo nime prove sehemu mbalimbali, Hawa viumbe ukisha fall tu ukawa unajiliza liza anakuona Boya na kuanza kihangika na wanao msumbua, Viumbe hawa ni wa ajabu sana tuwapende tu kwa kiasi
 
Mwanamke Sio wa kupenda sana ilo nime prove sehemu mbalimbali, Hawa viumbe ukisha fall tu ukawa unajiliza liza anakuona Boya na kuanza kihangika na wanao msumbua, Viumbe hawa ni wa ajabu sana tuwapende tu kwa kiasi
Hakika mkuu
 
Hata mm hilo naliona ukimp nafasi sn inakuwa shida ni boraa vingine ufiche hisia asikujue uzaif wako
 
Huyo dogo mwenyewe alishasema monogamy hafagilii
 
Will smith kosa alilofanya Ni kumpenda sana mke wake. Wanawake hawapendi wanaume wanaowajali sana.
Hakuna wanawake wanaojali na kuheshimu 'kujaliwa sana' na wanaume zao?au wote wapo hivyo?
 
Sijui huwa mnatuonaje lakini, eti wanawake hawapendi wanaume wanaowajali sana
Hili lipoje kwa upande wako dada?ni kweli au lah?wewe unapenda mwanaume akujali vipi?
 
Na Mimi nakazia hapo.ni ufala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…