Mimi mwenyewe nimeenda Duka la vitabu shule ya msingi nimenunua kitabu cha Maarifa ya Jamii cha darasa la nne na review nitakuja na mrejeshoKuna mwalimu alinidanganya,alikuwa anasema Marekani sio Ulaya.
Huyu ameandika tu hivyo ili ionekane kuwa mleta mada amechemka kuwa Marekani ipo ulayaKasema alidanganywa kwamba Marekani sio Ulaya
Maana yake kwa sasa anaamini Marekani ni Ulaya.
Sasa sijamuelewa nini hapo ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha bangi sana weweKuna mwalimu alinidanganya,alikuwa anasema Marekani sio Ulaya.
Weee una phd ya kuwajua wanawake.Will smith kosa alilofanya Ni kumpenda sana mke wake. Wanawake hawapendi wanaume wanaowajali sana.
Anaitwa Trey SmithKutoka kulia, Will Smith, Jada Pinket, Jaden Smith, Willow Smith wamwisho simjui jina ila naskia ndio mtoto wa kwanza wa Will Smith
NA NI ufala sanaaJada ni aina ya mwanamke anaependa thug life, thug love and all stuffs like that, sasa kakutana na Will Mzee wa kupenda sana kazi kujiliza liza tu, nahisi anammiss sana 2pac huko alipo, haya mambo ya "Entanglement" Will ndio wa kulaumiwa, mwanamke sio kumjali sana na kumpenda kama Mungu, Itoshe tu kusema ni ufala kumuonesha mwanamke kuwa huwezi ishi bila yeye, narudia tena ni ufala wa kiwango cha lami.
Let's meet at the top, cheers [emoji482]
Dahh. 😂 😂 😂 wahi milembe haraka sanaKuna mwalimu alinidanganya,alikuwa anasema Marekani sio Ulaya.
Aisee 😂 😂Kwani Marekani tangu lini imekuwa Ulaya ?
I want to be as foolish as you are but I cant reach you.
Sent using Jamii Forums mobile app
sio kweliHuu ndio ukweli wenyewe,wanawake wanapenda sana watu wasiowajali wahuni wahuni,maplay boy yani kwa kifupi pasua kichwa.
Ukimwonesha tu kama umeoza kwake atakupelekesha,yaani hata kosa akifanya yy bado msamaha utaomba ww.
Hivi Entanglement ni nini?
Jamaa alimpenda mpenzi wa mtu, katika maisha usipende kuoa au kumpenda mpenzi wa mtu kama mtu akupendi hakupendi tu hata ukizaa naejamaa alishamfukuzia dem akiwa na 2pac akashindwa kumng'oa ,sasa pac alipofariki ndo kampata ndo alikokosea
Haaah JF never boringKuna mwalimu alinidanganya,alikuwa anasema Marekani sio Ulaya.
UmetishaWill smith kosa alilofanya Ni kumpenda sana mke wake. Wanawake hawapendi wanaume wanaowajali sana.
Ni familia ya HOVYO sanaFamilia ya ajabu sana
kweli kabisa mwanaJada ni aina ya mwanamke anaependa thug life, thug love and all stuffs like that, sasa kakutana na Will Mzee wa kupenda sana kazi kujiliza liza tu, nahisi anammiss sana 2pac huko alipo, haya mambo ya "Entanglement" Will ndio wa kulaumiwa, mwanamke sio kumjali sana na kumpenda kama Mungu, Itoshe tu kusema ni ufala kumuonesha mwanamke kuwa huwezi ishi bila yeye, narudia tena ni ufala wa kiwango cha lami.
Let's meet at the top, cheers 🍻