GREAT NAME
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 1,078
- 1,718
- Thread starter
- #21
nilijua tu mwalimu wa jangwani girls utanisahishaKurudi sio kuludi
Nirudi sio niludie
Mama sio madha..au mother kwa kiingereza.
Jifunze kuandika vizuri mdogo wangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nilijua tu mwalimu wa jangwani girls utanisahishaKurudi sio kuludi
Nirudi sio niludie
Mama sio madha..au mother kwa kiingereza.
Jifunze kuandika vizuri mdogo wangu.
Kuna nazi za Bakhresahaya ndiyo hvyo tena kukuna nazi hujui 😀
Kuna nazi za Bakhresa
kumbe ndo maana mshana kasema ubwabwa sikuhizi aunukiiKuna nazi za Bakhresa
mimi tulikuwa tunashindana kuwahi shule ya msingi na rafiki yangu siku moja nikawahi kulala saa moja nikashtuka baadae kidogo kwa kuwa nilikuwa nishavaa sale ya shule kabisa nikavaa viatu huyo nikawaacha hom wamelala mi nikasepa,Mm nilikuwa nachukia kuamshwa asubuhi niwahi namba shuleni eti walimu wa field wakali mwaaàaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mimi tulikuwa tunashindana kuwahi shule ya msingi na rafiki yangu siku moja nikawahi kulala saa moja nikashtuka baadae kidogo kwa kuwa nilikuwa nishavaa sale ya shule kabisa nikavaa viatu huyo nikawaacha hom wamelala mi nikasepa,
ashukuliwe yule mlevi aliyeniludisha mpaka nyumbani,ilikuwa saa tano usiku ye ndo katoka bar.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] DahIshu za dingi mida kula mezani ndo unasikia ,,,,UMESHAOGA? Ukisema bado aya kaoge pumbavu
undertwentyboy bado mdogo tu...Mimi nilikuwa nakereka kwa mambo haya:
1:kuludi home mchana nakuta madha ana chambua mboga halafua ananiambia nikawashe jiko na inabidi niludie shule,
2:Anapita home msichana tunayesoma naye darasa moja hata sijamwongelesha,madha anaonge kwa sauti ya juu'we hivi leo si ndio zamu yako kuosha vyombo,duuu nilikuwa nakasirika vibaya, wewe je?
Mimi nilikuwa naambiwa UTAKULA MIGUU YAKO!Nikifika kutoka shule nakuta wamekula ugali wote, alafu naambiwa ''mboga ipo songa ugali wako ule au kama umeshiba subiria usiku''...kwa asira nawasha jiko alafu napakua mboga nyingiiii...labda wawe wamenipakulia mboga ndo inakuwa ponapona yao
niletee kitunguuu-- unaleta
niletee nyanya-- unaleta
niletee kisu-- unaleta
niletee maji-- unaleta
hujakaa sawa
niletee mwiko-- unaleta
hujapumzika unasikia
hebu niletee chumvi
hadi hicho chakula kiive umeshatembea zaidi ya km 10 kufata vitu tu.
Hiyo maza alikuwa ananiambia kama amenipa kazi alafu nimeenda kuzurura sijaifanya...na kama ni usiku mshua yupo napewa kichapo ,alafu naambiwa nikaoge then nikalale bila kula...lakini maza usiku ananionea huruma ananiletea msosi room...NAMPENDA SANA MAMAMimi nilikuwa naambiwa UTAKULA MIGUU YAKO!
"Kasage mahindi ndo ukacheze" ukirudi unatumwa kingine mpk giza linaingiaKutumwatumwa Yani Mpaka Leo Sipendi
Why are all mothers like this tho..niletee kitunguuu-- unaleta
niletee nyanya-- unaleta
niletee kisu-- unaleta
niletee maji-- unaleta
hujakaa sawa
niletee mwiko-- unaleta
hujapumzika unasikia
hebu niletee chumvi
hadi hicho chakula kiive umeshatembea zaidi ya km 10 kufata vitu tu.
This is so touchingHiyo maza alikuwa ananiambia kama amenipa kazi alafu nimeenda kuzurura sijaifanya...na kama ni usiku mshua yupo napewa kichapo ,alafu naambiwa nikaoge then nikalale bila kula...lakini maza usiku ananionea huruma ananiletea msosi room...NAMPENDA SANA MAMA