Mambo yaliyokuwa yanakuudhi nyumbani ulipokuwa mdogo...

Mambo yaliyokuwa yanakuudhi nyumbani ulipokuwa mdogo...

niletee kitunguuu-- unaleta
niletee nyanya-- unaleta
niletee kisu-- unaleta
niletee maji-- unaleta
hujakaa sawa
niletee mwiko-- unaleta
hujapumzika unasikia
hebu niletee chumvi
hadi hicho chakula kiive umeshatembea zaidi ya km 10 kufata vitu tu.
Sure aise
 
oohh kutwanga karanga mpk zirainike zitoe mafuta
kwa ajiri ya mboga za maboga
 
Kula mboga za majani
Kulala mapema
Kusuka
Kuvaa sweta jioni na slippers ndani ya nyumba
Homework
 
Umejikojolea usiku asubuh unaweka mambo sawa umetandka vzr mtu asijue, unarud shule kwa mbali unaona godoro limeanikwa kwenye bati na vibokamchiz vyako vimening'inizwa kwenye kamba, alooo sitasahau those days Me vs My father a.k.a mkoloni. Ckhz hatuamin wajukuu wanamchezea sharubu
 
Baba alikuwa ananikera.
Akirudi kazini ananiamsha nikamnunulie dawa pharmacy.
kuna wakati nikienda kununua Dawa.kama kuna sehemu kuna kibaraza nalala.mpaka anakuja kunifata mwenyewe.
Aisee
[emoji1] [emoji1] huu ulimweng una watu wa dizain nying sana
 
Umejikojolea usiku asubuh unaweka mambo sawa umetandka vzr mtu asijue, unarud shule kwa mbali unaona godoro limeanikwa kwenye bati na vibokamchiz vyako vimening'inizwa kwenye kamba, alooo sitasahau those days Me vs My father a.k.a mkoloni. Ckhz hatuamin wajukuu wanamchezea sharubu
Acha tu mkuu enzi hizo mzee wa boma alikuwa wa boma kweli akitia timu akiwa anatoka kwenye kazi zake boma kimya inajulikana mwenye boma yupo leo hii kina baba tunasema eti mtoto kanishinda kulea miaka hiyo utashindikana ukiwa mtu mzima siyo ukiwa kwenye himaya ya mtemi
 
Kuagizwa maji ya kunywa mda wa kula nilkuwa nakelwa sana
Watu wa dizaini hiyo walikuwa wachoyo mjomba alikuwa anaweka maji pembeni ukijisikia kiu hakuna kutuma raia amka mwenyewe tu ukanywe
 
Umejikojolea usiku asubuh unaweka mambo sawa umetandka vzr mtu asijue, unarud shule kwa mbali unaona godoro limeanikwa kwenye bati na vibokamchiz vyako vimening'inizwa kwenye kamba, alooo sitasahau those days Me vs My father a.k.a mkoloni. Ckhz hatuamin wajukuu wanamchezea sharubu
we jaamaa hatari
 
Back
Top Bottom