Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Hahahaha hiyo imewahi kuwatokea wengi tu alafu unatembea kwa kujiamini kuna sku rafk yangu alinipitia saa 10 kufika shulen tunakutana na mabundi darasan ikabid tukakae mlangoni kwa Mwalimumimi tulikuwa tunashindana kuwahi shule ya msingi na rafiki yangu siku moja nikawahi kulala saa moja nikashtuka baadae kidogo kwa kuwa nilikuwa nishavaa sale ya shule kabisa nikavaa viatu huyo nikawaacha hom wamelala mi nikasepa,
ashukuliwe yule mlevi aliyeniludisha mpaka nyumbani,ilikuwa saa tano usiku ye ndo katoka bar.