Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uchoyo mbaya sanaMdogo angu alkua anapenda sana wali sasa kila mtu na sahani yake, mama alkua akitujazia msahani mkubwa, mi nakula nabakisha cha kula na chai asubuh dogo akimaliza chake mama anachukua changu anampa, nilikua nakasirika balaa, siku moja ili kumkomoa nikamaliza chote nilivimbiwa usiku sikulala ni kugugumia tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi nilikuwa nakereka kwa mambo haya:
1:kurudi home mchana nakuta madha ana chambua mboga halafua ananiambia nikawashe jiko na inabidi nirudie shule,
2:Anapita home msichana tunayesoma naye darasa moja hata sijamwongelesha,madha anaonge kwa sauti ya juu'we hivi leo si ndio zamu yako kuosha vyombo,duuu nilikuwa nakasirika vibaya, wewe je?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wale wakubwa kunilaghai niwape muhindi wangu eti wanianzishie njia ya kwenda kwa bibi!
Kuwa mzoa ma.vi ya kuku arafu wageni wakija wanachinjiwa watoto tunapewa miguu na shingo.Mimi nilikuwa nakereka kwa mambo haya:
1:kurudi home mchana nakuta madha ana chambua mboga halafua ananiambia nikawashe jiko na inabidi nirudie shule,
2:Anapita home msichana tunayesoma naye darasa moja hata sijamwongelesha,madha anaonge kwa sauti ya juu'we hivi leo si ndio zamu yako kuosha vyombo,duuu nilikuwa nakasirika vibaya, wewe je?
This says it all
Nyie ilikuwa maisha bora, chai??Kurudi nyumbani toka shule halafu nisikute kiporo cha wali maharage na chai....nilikuwa ninakasirika sana.
duuh we nomamm nilikua nachukia napoambiwa niendeshe gar kwenda gerej wakat sin lesen
hakuna kipindi kinaudhi kama kiangazi cha kupiga mahindi hapo hata kama ulikuwa hupendi ile twisheni ya mathe ya jioni school utaipenda tuWenzangu wamekuja kunipitia home nikacheze chandimu/sodo/sambisambi, Mzee ananituma niende mashine kukoboa na kusaga. Nilikuwa namuona Mzee ni katili sana..