Mambo yaliyotakiwa kuzingatiwa kabla ya “Royal Tour”

Mambo yaliyotakiwa kuzingatiwa kabla ya “Royal Tour”

Badala mabango kuwa na picha za wanyama na vivutio vingine vya utalii, tunaona mabango yana picha ya Mama na neno royal tour. Sasa Mama ndie kivutio au ni mbuga zetu?
Waandaaji kuna kujipendekeza zaidi kuliko lengo la film..
 
Ni vema wakati tunafurahia uzinduzi wa Royal Tour nchini huko mjini Arusha.

Vema wahusika wafanye jitihada kubadili kile wanachotusema huko kwenye website yao ya Travel State Government.
American citizen travel to Tanzania advisory.

Sio maneno yangu, nimeambatanisha hiyo link ili yeyote humu akaisome na kujiridhisha.

Swali kubwa kwa mamlaka zetu......

Je wamejaribu kupitia na kujua kinachoendelea huko na baadae kufanya jitihada za kufanya mazungumzo na wahusika ili kuona uwezekano wa kufanya marekebisho maana haiendani na ukweli halisi kwa nchi yetu?

View attachment 2203350

View attachment 2203343

View attachment 2203346

View attachment 2203348

Screenshot 2022-04-28 at 10.49.30.png

Screenshot 2022-04-28 at 10.50.12.png
 
Lakini Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizofanya vizuri kwenye utalii.

Ukienda kwenye international sites zinazoshauri sehemu za kutembelea Afrika, Morogoro imetajwa kwa huku bara na Zanzibar imetajwa pia.

Makonda na ile kampeni ya kuwataja mashoga atakua alisababisha hiyo 'Targeting of lgbti persons' kwa sababu kama ishu ni sheria sisi tuna sheria ya kumfunga anayemuingilia mwanaume mwenzake au kula ndogo kwa miaka 30 hata kabla Makonda hajawa mkuu wa Wilaya.
 
Mnahaha kuitakia mabaya nchi!!!..halafu kesho mtazidi kulia Hali ngumu
Acha ujinga nenda rudia coment yangu kwa wahusika.

Pia inaelekea wewe lugha imekupiga chenga.

Hao ni wamarekani na website yao.
Vyombo husika nchini wanao wajibu wa kukaa na wahusika ili kuona wapi pa kufanyia marekebisho.
 
Hiyo siyo Mara ya kwanza wamarekani kutia tahadhari,huko nyuma wakitoa lakini akaja will Smith,Cynthia rothrock na Chuck Norris...hiyo lugha iliyotumika hapo nafahamiana nayo tangu 1991
 
Chawa huwa hafichwi wala hajifichi. Ni aibu kwa mzazi wa watoto wawili au watatu kufanywa chawa na mzazi mwenzako kwa sababu ya tumbo lako. Haya bimkubwa kachukue chako mapema kwa aliekutuma kuandika ushuzi huu, ili uwahi mihogo ya watoto pale jangwani

images (68).jpeg
 
Huwa nashangaa nikimuona mtanzania anahangaika kutaka nchi yake ionekane mbaya kimataifa nashangaa sana.
Kuna wakati unagundua Magufuli alikuwa sahihi mno katika kuwanyoosha wapumbavu kama mleta uzi.
 
Chawa huwa hafichwi wala hajifichi. Ni aibu kwa mzazi wa watoto wawili au watatu kufanywa chawa na mzazi mwenzako kwa sababu ya tumbo lako. Haya bimkubwa kachukue chako mapema kwa aliekutuma kuandika ushuzi huu, ili uwahi mihogo ya watoto pale jangwani

View attachment 2203387
Kati yake na ww, mbona ww ndio chawa
 
Hiyo siyo Mara ya kwanza wamarekani kutia tahadhari,huko nyuma wakitoa lakini akaja will Smith,Cynthia rothrock na Chuck Norris...hiyo lugha iliyotumika hapo nafahamiana nayo tangu 1991
Mleta mada anaonesha wazi kuwa anaweza kuwa tayari kumtelekeza mume wake na watoto wake, ili akimbilie kwa bwana atakae muahidi ahueni ya tumbo lake.
 
Mnahaha kuitakia mabaya nchi!!!..halafu kesho mtazidi kulia Hali ngumu
Dada angu huu muingiliano wa nchi yetu na majirani zetu umesababisha tuwe na vijana wengi kutoka katika nchi hizo ambao wakifika humu huiga tamaduni, lugha na life style ya watanzania na baadae na wao kujifanya watanzania kwa kuanza kuandika ushuzi ushuzi wanaoambiwa waandike na nchi zao kwa kisingizio cha uhuru wa kutoa maoni. Bahati nzuri siku zinavyokwenda ndo jinsi na watanzania tunazidi kuwang'amua na kuwapuuza, japo wamefungua IDs kumi kumi za kusapotiana ujinga wao lkn jamaa amekosa Like hata tatu.
 
Daaaaah Waafrika . hivi ni lini Marekani watajisifu wamepostiwa Na Website ya Tanzania?

Tafuteni vya kwenu Kujipendekeza Kuishe
 
Daaaaah Waafrika . hivi ni lini Marekani watajisifu wamepostiwa Na Website ya Tanzania?

Tafuteni vya kwenu Kujipendekeza Kuishe
Umeelewa dhana ya post? Tumeenda kuzindua royal tour Marekani ili kuvutia wao kuja huku, lakini wao na serikali yao bado wameweka tahadhali kwa watu wao wanaotaka Kuja huku na ndio dhana ya post
 
Kati yake na ww, mbona ww ndio chawa
Kaoshe kwanza maku yako, afu ndo uje uni quote msukule mkubwa wee. Mleta mada na wewe ni mtu mmoja mwenye ID mbili. Nchi za jirani zimekuwa zikiwatumieni nyinyi mateja kurudisha juhudi zetu za maendeleo nyuma. Sasa kawambieni hao waliowatuma kwamba ule uongo wao wa miaka na miaka kuwa mlima Kilimanjaro upo Kenya safari hii utagonga mwamba, kwahiyo watafute njia nyingine za kihalali kuleta watalii nchini kwao. Wanywa viloba mnakera sana kwa kukubali kuuza thaman ya nchi yenu kwa sababu ya njaa zenu.

images (54).jpeg
 
Back
Top Bottom