Mambo yaliyotakiwa kuzingatiwa kabla ya “Royal Tour”

Mambo yaliyotakiwa kuzingatiwa kabla ya “Royal Tour”

Unatangazia dunia kuna magaidi nchini kwako kisha unataka waje kutalii, NONSENSE.
 
Watoe kwanza Tamko kuwa ile ishu ya Ugaidi ilikiwa ya mchongo.
 
Juhudi zote zimefanyika kwenye RT kwa gharama kubwa na muda halafu wanatoa onyo 19 Aprili 2022 ?? kutisha watu wao wasije. USA wanafiki sana kama sio urafiki wa mashaka.
 
Mandela alitembelea Marekani na Uingereza baada ya kusafishwa kwamba sio terroristi.
 
Back
Top Bottom