Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,335 Reaction score 29,114 Apr 28, 2022 #41 Unatangazia dunia kuna magaidi nchini kwako kisha unataka waje kutalii, NONSENSE.
Msudu JF-Expert Member Joined Aug 19, 2021 Posts 1,050 Reaction score 1,705 Apr 28, 2022 #42 Watoe kwanza Tamko kuwa ile ishu ya Ugaidi ilikiwa ya mchongo.
Ambiente Guru JF-Expert Member Joined May 21, 2012 Posts 2,605 Reaction score 1,085 Apr 28, 2022 #43 Juhudi zote zimefanyika kwenye RT kwa gharama kubwa na muda halafu wanatoa onyo 19 Aprili 2022 ?? kutisha watu wao wasije. USA wanafiki sana kama sio urafiki wa mashaka.
Juhudi zote zimefanyika kwenye RT kwa gharama kubwa na muda halafu wanatoa onyo 19 Aprili 2022 ?? kutisha watu wao wasije. USA wanafiki sana kama sio urafiki wa mashaka.
Ambiente Guru JF-Expert Member Joined May 21, 2012 Posts 2,605 Reaction score 1,085 Apr 28, 2022 #44 Mandela alitembelea Marekani na Uingereza baada ya kusafishwa kwamba sio terroristi.