Mimi mwanamke bila kyupii ,sio mwanamke bwashee 😁Huachi kunusa kyupii🤣😂😀
Mmh haya yanafanyikia wapi1. Mke laZima Kulala ukutani
2. Kukojoa nyuma ya choo
3.ufagio unakaa nyuma ya mlango
4. Kila tajiri ni freemason au alitoka kafara
5.kufulia chupi maji yaliyobaki baada ya kuoga
6 kuisha vyombo kabla ya sufuria
7. Chai chapati 2 ndo sheria
8. Kula supu ya maharage.
Maharage Yana supu?
9. Kunusa chupi ya demu kabla ya tendo
10. Kuamini Kuna nguo ya bahati
Ongezea.........
Mbona sijawai Fanya Ata Moja apo😹😹Mmh haya yanafanyikia wapi
Anastasia21
Nimeshangaa sana yaniMbona sijawai Fanya Ata Moja apo😹😹
Kama unamaanisha kukaa karibu na dereva huwezi kufa, approximately ni Sawa, sijajua unamaanisha dere gani?Pembeni ya Dere hapa
We ni mgeni hapa Tanganyika?Mmh haya yanafanyikia wapi
Anastasia21
Halafu iwe cheke cheke😋Kyupi tena kiwe cheupe peeee aaah utautupa mkojo ule mzito hadi ubongo
Limbwata la bundiUnakulaje kabla ya mme kurudi
Unamwekea limbata zako