Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,120
Bro vingine sio ujinga,ni, logic tu, namba 1,Baba/mume ndio mlinzi, wa, familia, lazima, awe tayari kupambana wezi, wakiingia, ingekuwa ulaya, au, USA, bunduki anakaa, nayo baba, huku kwetu, lazima ulale karibu na mlango,ni logic ndogo tu,1. Mke laZima Kulala ukutani
2. Kukojoa nyuma ya choo
3.ufagio unakaa nyuma ya mlango
4. Kila tajiri ni freemason au alitoka kafara
5.kufulia chupi maji yaliyobaki baada ya kuoga
6 kuisha vyombo kabla ya sufuria
7. Chai chapati 2 ndo sheria
8. Kula supu ya maharage.
Maharage Yana supu?
9. Kunusa chupi ya demu kabla ya tendo
10. Kuamini Kuna nguo ya bahati
Ongezea.........
Hii kumbe wanandoa Wana Siri hiziiiiπππ₯±π₯±πππ1. Mke laZima kulala ukutani
I did like that momentBaba kupewa nyama kubwa
Nimekuelewa sana mkuuBro vingine sio ujinga,ni, logic tu, namba 1,Baba/mume ndio mlinzi, wa, familia, lazima, awe tayari kupambana wezi, wakiingia, ingekuwa ulaya, au, USA, bunduki anakaa, nayo baba, huku kwetu, lazima ulale karibu na mlango,ni logic ndogo tu,
Namba 7,ni, mazoea, ya, muda mrefu, unashiba, sehemu zingine chapatti ni nyembamba Sana, unapiga hata tatu,
11. Kuacha kuabudu vitu vyetu badala yake tunaenda Saudi Arabi bila chupi kuabudu na kubusu jiwe pamoja na kushika ukuta.1. Mke laZima Kulala ukutani
2. Kukojoa nyuma ya choo
3.ufagio unakaa nyuma ya mlango
4. Kila tajiri ni freemason au alitoka kafara
5.kufulia chupi maji yaliyobaki baada ya kuoga
6 kuisha vyombo kabla ya sufuria
7. Chai chapati 2 ndo sheria
8. Kula supu ya maharage.
Maharage Yana supu?
9. Kunusa chupi ya demu kabla ya tendo
10. Kuamini Kuna nguo ya bahati
Ongezea.........
Sio firigisi tu ile nyama ya kuku unaweka paja,maini,firigisi zilizobaki mnakula nyie wengine alafu ni mwiko usipo muwekea ivyoππΎUmenikumbusha nilikuwa Tarime jamaa alimfukuza mke eti alikula firigisi
Kuna nyama ya kuku ambayo ni lakini haina mfupa huko Ukuryani anapaswa ale baba ππ€£
Hakika wanaume wa ki Africa tumejaliwa mbinu za uchoyoSio firigisi tu ile nyama ya kuku unaweka paja,maini,firigisi zilizobaki mnakula nyie wengine alafu ni mwiko usipo muwekea ivyoππΎ
Hizo za 9 na 10 ni uongo.1. Mke laZima Kulala ukutani
2. Kukojoa nyuma ya choo
3.ufagio unakaa nyuma ya mlango
4. Kila tajiri ni freemason au alitoka kafara
5.kufulia chupi maji yaliyobaki baada ya kuoga
6 kuisha vyombo kabla ya sufuria
7. Chai chapati 2 ndo sheria
8. Kula supu ya maharage.
Maharage Yana supu?
9. Kunusa chupi ya demu kabla ya tendo
10. Kuamini Kuna nguo ya bahati
Ongezea.........
Unajua kuna comment ambazo zinatamanisha umuone huyo mtoa comment ni mtu wa namna gani?11. Kuacha kuabudu vitu vyetu badala yake tunaenda Saudi Arabi bila chupi kuabudu na kubusu jiwe pamoja na kushika ukuta.