Mambo yanatambulisha Ujinga wa ki Africa

Unyakyusani kwetu hiyo ni desturi iliyodumu kwa miaka mingi. Baba wa familia anapanga namna ya kuanzisha kilio na anachaguliwa wa kuanzisha wengine wanapokea kisha wanawake wanafuata baada ya hapo msiba unakuwa rasmi umeanza
Nimechoka mno mkuu 😀😂🤣🤣🤣
 
Kuweka nguo au taulo kwenye mlango wa choo ili watu wajue kuwa chooni Kuna mtu
 
Kama unamaanisha kukaa karibu na dereva huwezi kufa, approximately ni Sawa, sijajua unamaanisha dere gani?
Kuna popote palipoandikwa ajali au kufa? Punguza makasiriko ndugu, mwili unawiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…