Mambo yanayo shusha thamani ya mwanamke katika jamii(Duniani)

Mto Songwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2023
Posts
6,683
Reaction score
14,060
Haya ni mambo kadhaa yanayo mfanya mwanamke thamani yake ishuke katika jamii.

1. Mahari

2. Ndoa

3. Kutegemea mwanaume kumhudumia( wenyewe wanaita kucare)

4. Haki sawa( wenye wanaita 50/50)

5. Kukosa akili timamu (kwa wanawake wa kisasa)

Note: kutakuwa na nyongeza ( update ipo stay stunned )
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ