Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
- Thread starter
- #21
Wanaume wasio jitambua wapoje ? Na wanaume kamili wapoje ?Ni nyie wanaume msiojitambua ndio mnahangaika na petty issues kama hizo, wanaume kamili hata hawasumbuki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume wasio jitambua wapoje ? Na wanaume kamili wapoje ?Ni nyie wanaume msiojitambua ndio mnahangaika na petty issues kama hizo, wanaume kamili hata hawasumbuki
Awe makini asije kuu-escape huu uzi kama Sobibo
Hawa ni viumbe wa ajabu dunianiTena ulemavu Wa miguu, mikono mpaka ngozi
Mumetuandama lakini khaaa
Wasiojitambua huona wanawake sio watu wa thamani, hutafuta flaws kama hii thread, ukijiona unaona mabaya tu ya wanawake, jiulize mara mbili......wanaume kamili hawadiscuss wanawakeWanaume wasio jitambua wapoje ? Na wanaume kamili wapoje ?
Wananunulika wanakosa thamaniNdoa na mahari vinashushaje thamani ya mwanamke? Hebu fafanua kidogo.
Mimi kwa akili yangu najua ndoa humuongezea mwanamke thamani.
Ila ni kweli nilichoandikaWasiojitambua huona wanawake sio watu wa thamani, hutafuta flaws kama hii thread, ukijiona unaona mabaya tu ya wanawake, jiulize mara mbili......wanaume kamili hawadiscuss wanawake
Ni nyie wanaume msiojitambua ndio mnahangaika na petty issues kama hizo, wanaume kamili hata hawasumbuki
Hii imeshangaza kidgo ndoa inawezaje kushusha thamani ya mwanamkeNdoa na mahari vinashushaje thamani ya mwanamke? Hebu fafanua kidogo.
Mimi kwa akili yangu najua ndoa humuongezea mwanamke thamani.
Mwanaume kamili hasumbuliwi na watu wanaotembea uchikutembea uchi sio petty issue ...hebu tuliza akili na ufikilie mara mbili
mwanaume kamili kama yupi? yaaniMwanaume kamili hasumbuliwi na watu wanaotembea uchi
Asiyehangaika na mambo ya wanawake mbona nishajibu huko juumwanaume kamili kama yupi? yaani
kwa hiyo kutembea uchi ni miongoni mwa mambo ya wanawakeAsiyehangaika na mambo ya wanawake mbona nishajibu huko juu
Ndio na wanaume wasiojitambua wanaona ni ishu,,,, kama Unaona ni ishu ujue hujitambuikwa hiyo kutembea uchi ni miongoni mwa mambo ya wanawake
Poa poaMambo yao waachie wenyewe...