Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,653
- 4,744
Hiyo niliyobold ndio sababu kuu hizo zingine ni nyongeza, ndio maana nasisitizaga miongoni mwavile vipimo muhimu na kipimo cha akili kiwepo kabla ya ndoa.Haya ni mambo kadhaa yanayo mfanya mwanamke thamani yake ishuke katika jamii.
1. Mahari
2. Ndoa
3. Kutegemea mwanaume kumhudumia( wenyewe wanaita kucare)
4. Haki sawa( wenye wanaita 50/50)
5. Kukosa akili timamu (kwa wanawake wa kisasa)
Note: kutakuwa na nyongeza ( update ipo stay stunned )