Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,653
- 4,744
Hiyo niliyobold ndio sababu kuu hizo zingine ni nyongeza, ndio maana nasisitizaga miongoni mwavile vipimo muhimu na kipimo cha akili kiwepo kabla ya ndoa.Haya ni mambo kadhaa yanayo mfanya mwanamke thamani yake ishuke katika jamii.
1. Mahari
2. Ndoa
3. Kutegemea mwanaume kumhudumia( wenyewe wanaita kucare)
4. Haki sawa( wenye wanaita 50/50)
5. Kukosa akili timamu (kwa wanawake wa kisasa)
Note: kutakuwa na nyongeza ( update ipo stay stunned )
Huwezi kupata jibu kwa omba omba/matonya.Wanaume wasio jitambua wapoje ? Na wanaume kamili wapoje?
umalaya, uswahili (kama wale waimba taarabu), ugomvi, ujinga na uchafu ndio vinashusha thamani. hayo uliyotaja cha mtoto. binafsi, mwanamke yeyote mwimba taarabu au anayevaa madera huwa naamini ni malaya, ana matusi na anapenda kwampalange, hivyo hua simhitaji kabisa.Haya ni mambo kadhaa yanayo mfanya mwanamke thamani yake ishuke katika jamii.
1. Mahari
2. Ndoa
3. Kutegemea mwanaume kumhudumia( wenyewe wanaita kucare)
4. Haki sawa( wenye wanaita 50/50)
5. Kukosa akili timamu (kwa wanawake wa kisasa)
Note: kutakuwa na nyongeza ( update ipo stay stunned )
Kwa kuwa nilikuomba wewe...pumbafuHuwezi kupata jibu kwa omba omba/matonya.