1. Gazeti lake la Jamvi la Habari linalomilikiwa na ACT/Zitto limetoa story mara 3 kwa msisitizo kuonesha ama Nssf hakuna ufisadi na kama upo basi Dr Dau hausiki.
2.Kwa miaka yote Zitto akiwa Mwenyekiti PAC hakuwahi kusema ufisadi wowote Nssf wakati ni kichaka cha wizi kama ilivokuja kudhihirika
3.Yeye binafsi na kampuni yenye mahusiano naye ya LekaDutigite kwa kiasi kikubwa imetajwa bungeni kujipatia mamilioni ya fedha Nssf
4. Gazeti la Mwananchi leo limemtaja katika uk4 kuwa alivishambulia vyombo vya habari mwanzoni mwaka huu viliporipoti Ufisadi wa mradi wa eka1 kwa 800m. (au gazeti hili lina chuki na zzk?).
5.Tamko la ACT leo badala ya kuishia kumtetea Kiongozi wao bado wamesisitiza Nssf hakuna ufisadi bila kujali kama Mwenyekiti wa bodi Prof Wangwe mbele ya Kamati ya PAC amekiri ufisadi huo ktk manunuzi ya arhi hiyo na hata chama chenye Serikali kimekubali jana kuwa ununuzi wa eka1 kwa 800m ulikuwa ufisadi.haijulikani ACT wana maslahi gani zaidi ya CCM wenye serikali.
6.Makada waandamizi Prof Kitila na Mchange wote wamepambana vikali kwenye mitandao ya kijamii kujenga picha kwamba Nssf hakuna ufisadi
7.Udalali mkubwa wa Zitto kupinga fao la kujitoa ni ushahidi kuwa alijua kwa ufisadi waliofanya Nssf isingekuwa na fedha ya kulipa wanaojitoa ndio maana akapambana kwa nguvu zote