Mambo yanayoashiria kuhusika kwa Zitto Kabwe na ACT Wazalendo na ufisadi wa NSSF

Ccm wacheni kubabaisha watu. Zito linamhusu nini jili...
Dau kapandishwa cheo..kuwa balozi kwa kazi nzuri.
Imekua kawaida ccm kuweka makada kwenye mashirika ilo kukiwezesha chama chao.
Zito halimuhusu....hi ni kutakaka kubadilisha lengo. Ccm na ufisadi ni pete na kidole tusibabaishane.
Wakuu wote huteuliwa na serikali ya ccm na mwenyekiti wa ccm
 
1. Gazeti lake la Jamvi la Habari linalomilikiwa na ACT/Zitto limetoa story mara 3 kwa msisitizo kuonesha ama Nssf hakuna ufisadi na kama upo basi Dr Dau hausiki.

2.Kwa miaka yote Zitto akiwa Mwenyekiti PAC hakuwahi kusema ufisadi wowote Nssf wakati ni kichaka cha wizi kama ilivokuja kudhihirika

3.Yeye binafsi na kampuni yenye mahusiano naye ya LekaDutigite kwa kiasi kikubwa imetajwa bungeni kujipatia mamilioni ya fedha Nssf

4. Gazeti la Mwananchi leo limemtaja katika uk4 kuwa alivishambulia vyombo vya habari mwanzoni mwaka huu viliporipoti Ufisadi wa mradi wa eka1 kwa 800m. (au gazeti hili lina chuki na zzk?).

5.Tamko la ACT leo badala ya kuishia kumtetea Kiongozi wao bado wamesisitiza Nssf hakuna ufisadi bila kujali kama Mwenyekiti wa bodi Prof Wangwe mbele ya Kamati ya PAC amekiri ufisadi huo ktk manunuzi ya arhi hiyo na hata chama chenye Serikali kimekubali jana kuwa ununuzi wa eka1 kwa 800m ulikuwa ufisadi.haijulikani ACT wana maslahi gani zaidi ya CCM wenye serikali.

6.Makada waandamizi Prof Kitila na Mchange wote wamepambana vikali kwenye mitandao ya kijamii kujenga picha kwamba Nssf hakuna ufisadi

7.Udalali mkubwa wa Zitto kupinga fao la kujitoa ni ushahidi kuwa alijua kwa ufisadi waliofanya Nssf isingekuwa na fedha ya kulipa wanaojitoa ndio maana akapambana kwa nguvu zote
Hivi hawa cdm wana chuki gani kwa zitto, wako radhi kuungana na ccm ili tu kupambana na zitto. Ona sasa porojo zoote hizi hakuna hata evidence yoyote. Unaongozwa na chuki tu, shame on you
 
Zito ni mbinafsi sana tena ni mpiga madili wa kuheshimika sana huku akihisi kutumia umaarufu wake vibaya
 
kutajwa bungeni sio tatizo! mbona kuna mtu aliuza nyumba za taifa na alitajwa sana bungeni!

Basi nae awajibike
.

Hakuna mtu anaweza kuuza nyumba za taifa bila ruhusa ya bunge na kuidhiniswa na Rais. Ijuwe sheria na utaratibu wa nchi yako otherwise utaonekana hujui unachokisema.
 
Ccm wacheni kubabaisha watu. Zito linamhusu nini jili...
Dau kapandishwa cheo..kuwa balozi kwa kazi nzuri.
Imekua kawaida ccm kuweka makada kwenye mashirika ilo kukiwezesha chama chao.
Zito halimuhusu....hi ni kutakaka kubadilisha lengo. Ccm na ufisadi ni pete na kidole tusibabaishane.
Wakuu wote huteuliwa na serikali ya ccm na mwenyekiti wa ccm
Mhhhh kuwa balozi ndiyo kupandishwa cheo?mi navyojua asailimia kubwa ya mabalozi ni wale walioshindwa ku deliver huko walikotoka chunguza vizuri mabalozi wengi alafu uangalie historia za utendaji wao kabla ya kuteuliwa kuwa balozi,in short ubalozi siyo kazi wanakula tu good time huko
 
1. Gazeti lake la Jamvi la Habari linalomilikiwa na ACT/Zitto limetoa story mara 3 kwa msisitizo kuonesha ama Nssf hakuna ufisadi na kama upo basi Dr Dau hausiki.

2.Kwa miaka yote Zitto akiwa Mwenyekiti PAC hakuwahi kusema ufisadi wowote Nssf wakati ni kichaka cha wizi kama ilivokuja kudhihirika

3.Yeye binafsi na kampuni yenye mahusiano naye ya LekaDutigite kwa kiasi kikubwa imetajwa bungeni kujipatia mamilioni ya fedha Nssf

4. Gazeti la Mwananchi leo limemtaja katika uk4 kuwa alivishambulia vyombo vya habari mwanzoni mwaka huu viliporipoti Ufisadi wa mradi wa eka1 kwa 800m. (au gazeti hili lina chuki na zzk?).

5.Tamko la ACT leo badala ya kuishia kumtetea Kiongozi wao bado wamesisitiza Nssf hakuna ufisadi bila kujali kama Mwenyekiti wa bodi Prof Wangwe mbele ya Kamati ya PAC amekiri ufisadi huo ktk manunuzi ya arhi hiyo na hata chama chenye Serikali kimekubali jana kuwa ununuzi wa eka1 kwa 800m ulikuwa ufisadi.haijulikani ACT wana maslahi gani zaidi ya CCM wenye serikali.

6.Makada waandamizi Prof Kitila na Mchange wote wamepambana vikali kwenye mitandao ya kijamii kujenga picha kwamba Nssf hakuna ufisadi

7.Udalali mkubwa wa Zitto kupinga fao la kujitoa ni ushahidi kuwa alijua kwa ufisadi waliofanya Nssf isingekuwa na fedha ya kulipa wanaojitoa ndio maana akapambana kwa nguvu zote

Zitto anajua kuongea uwongo mwingi, zamani tukimwamini, na alikuwa anaonekana ni mtu maarufu wa kupigana na mafisadi, kumbe zilikuwa mbwembwe tupu ZA uwongo. Tangu Zitto ametishia kuwataja watu wenye pesa Swiss mpaka leo hajataja ni kutishia tu. Hana jipya lakumufanya awe relevant, tutamuona atanyamaza kama alivyonyamaza Mbowe na deni la taifa la zaidi ya billioni 1.3. Zitto ni debe tupu, na debe tupu hupiga kelele zaidi na kumbe yeye ndiye anaweza kuwa NI MWALIMU wa mafisadi, na asingekuwa fisadi, KAZI anayoifanya Rais Magufuli ndiyo aliyokuwa akiipigia kelele bungeni, basi huu ndiyo wakati angemuunga mkono, lakini sasa hofu imemujaa, hana tena kitu cha kusema, badala yake kama wapiga dili wote wamehamia kupiga kelele kusingizia democrasia uchwara.
 
Zito kamhonga mwanamke ghorofa na ana cruiser sio chini ya 20 sasa hv ...huu ukwasi wa ghafla namna hii kautolea wapi huyu opportunist ZZK????
 
Hapa hana kwa kukimbilia mda huu atakuwa anamuomba mungu tuu hiki kikombe cha ufisadi kimuepuke hata fesibuku anaogopa kuingia
 
1. Gazeti lake la Jamvi la Habari linalomilikiwa na ACT/Zitto limetoa story mara 3 kwa msisitizo kuonesha ama Nssf hakuna ufisadi na kama upo basi Dr Dau hausiki.

2.Kwa miaka yote Zitto akiwa Mwenyekiti PAC hakuwahi kusema ufisadi wowote Nssf wakati ni kichaka cha wizi kama ilivokuja kudhihirika

3.Yeye binafsi na kampuni yenye mahusiano naye ya LekaDutigite kwa kiasi kikubwa imetajwa bungeni kujipatia mamilioni ya fedha Nssf

4. Gazeti la Mwananchi leo limemtaja katika uk4 kuwa alivishambulia vyombo vya habari mwanzoni mwaka huu viliporipoti Ufisadi wa mradi wa eka1 kwa 800m. (au gazeti hili lina chuki na zzk?).

5.Tamko la ACT leo badala ya kuishia kumtetea Kiongozi wao bado wamesisitiza Nssf hakuna ufisadi bila kujali kama Mwenyekiti wa bodi Prof Wangwe mbele ya Kamati ya PAC amekiri ufisadi huo ktk manunuzi ya arhi hiyo na hata chama chenye Serikali kimekubali jana kuwa ununuzi wa eka1 kwa 800m ulikuwa ufisadi.haijulikani ACT wana maslahi gani zaidi ya CCM wenye serikali.

6.Makada waandamizi Prof Kitila na Mchange wote wamepambana vikali kwenye mitandao ya kijamii kujenga picha kwamba Nssf hakuna ufisadi

7.Udalali mkubwa wa Zitto kupinga fao la kujitoa ni ushahidi kuwa alijua kwa ufisadi waliofanya Nssf isingekuwa na fedha ya kulipa wanaojitoa ndio maana akapambana kwa nguvu zote
 
Uyo bwana ilmradi ni wa dini yetu atakutetea tu
Dau wa nssf ni ndugu yetu katika uislam
 
Zitto ni mdini sana, yaani siasa zake anaziendesha ki jihadi jihad
 
Bwana nyepesi hana moral authority ya kumkosoa Magufuli.

Wanasiasa wetu wengi ni wanatumbua fedha za uma tu.

Kama hawatuibii kwanini hawataki kutoka kwenye siasa wanapambana kila siku kubakia humo tu.

Na hata kama ikatokea wamepumzika bado watambana kuhakikisha watu wao wapo madarakani.

Kuna nini wanaficha humo hawataki tukijue.

Kama si wizi ni nini??
 
Back
Top Bottom