Mambo yanayoashiria kuhusika kwa Zitto Kabwe na ACT Wazalendo na ufisadi wa NSSF

1. Gazeti lake la Jamvi la Habari linalomilikiwa na ACT/Zitto limetoa story mara 3 kwa msisitizo kuonesha ama Nssf hakuna ufisadi na kama upo basi Dr Dau hausiki.

2.Kwa miaka yote Zitto akiwa Mwenyekiti PAC hakuwahi kusema ufisadi wowote Nssf wakati ni kichaka cha wizi kama ilivokuja kudhihirika

3.Yeye binafsi na kampuni yenye mahusiano naye ya LekaDutigite kwa kiasi kikubwa imetajwa bungeni kujipatia mamilioni ya fedha Nssf

4. Gazeti la Mwananchi leo limemtaja katika uk4 kuwa alivishambulia vyombo vya habari mwanzoni mwaka huu viliporipoti Ufisadi wa mradi wa eka1 kwa 800m. (au gazeti hili lina chuki na zzk?).

5.Tamko la ACT leo badala ya kuishia kumtetea Kiongozi wao bado wamesisitiza Nssf hakuna ufisadi bila kujali kama Mwenyekiti wa bodi Prof Wangwe mbele ya Kamati ya PAC amekiri ufisadi huo ktk manunuzi ya arhi hiyo na hata chama chenye Serikali kimekubali jana kuwa ununuzi wa eka1 kwa 800m ulikuwa ufisadi.haijulikani ACT wana maslahi gani zaidi ya CCM wenye serikali.

6.Makada waandamizi Prof Kitila na Mchange wote wamepambana vikali kwenye mitandao ya kijamii kujenga picha kwamba Nssf hakuna ufisadi

7.Udalali mkubwa wa Zitto kupinga fao la kujitoa ni ushahidi kuwa alijua kwa ufisadi waliofanya Nssf isingekuwa na fedha ya kulipa wanaojitoa ndio maana akapambana kwa nguvu zote
Zitto ni jangili kama majangili mengine
 
Nilikuwa nampenda Zitto kumbe boya hivi.

Sikujua.

Mtu yeyeyote anayemsema marehemu ni shetwaini.

Zitto kumbe shetwaini baya kwelikweli
 
Mnavyolumbana hivi humu nabaki kwashangaa tu WTF! Nimeanza shifti ya food delivery masaa matatu yaliopita tayari nimeshapiga shifti 4, sasa hivi ninaning'iniza kaynday tu kwenye babywalker changu nikivizia shifti nyingine nikisoma jinsi mnavyolumbana humu.

Kumbuka shifti moja ni kama elfu 20 Madaf.

nyboma mmteule
 
1. Gazeti lake la Jamvi la Habari linalomilikiwa na ACT/Zitto limetoa story mara 3 kwa msisitizo kuonesha ama Nssf hakuna ufisadi na kama upo basi Dr Dau hausiki.

2.Kwa miaka yote Zitto akiwa Mwenyekiti PAC hakuwahi kusema ufisadi wowote Nssf wakati ni kichaka cha wizi kama ilivokuja kudhihirika

3.Yeye binafsi na kampuni yenye mahusiano naye ya LekaDutigite kwa kiasi kikubwa imetajwa bungeni kujipatia mamilioni ya fedha Nssf

4. Gazeti la Mwananchi leo limemtaja katika uk4 kuwa alivishambulia vyombo vya habari mwanzoni mwaka huu viliporipoti Ufisadi wa mradi wa eka1 kwa 800m. (au gazeti hili lina chuki na zzk?).

5.Tamko la ACT leo badala ya kuishia kumtetea Kiongozi wao bado wamesisitiza Nssf hakuna ufisadi bila kujali kama Mwenyekiti wa bodi Prof Wangwe mbele ya Kamati ya PAC amekiri ufisadi huo ktk manunuzi ya arhi hiyo na hata chama chenye Serikali kimekubali jana kuwa ununuzi wa eka1 kwa 800m ulikuwa ufisadi.haijulikani ACT wana maslahi gani zaidi ya CCM wenye serikali.

6.Makada waandamizi Prof Kitila na Mchange wote wamepambana vikali kwenye mitandao ya kijamii kujenga picha kwamba Nssf hakuna ufisadi

7.Udalali mkubwa wa Zitto kupinga fao la kujitoa ni ushahidi kuwa alijua kwa ufisadi waliofanya Nssf isingekuwa na fedha ya kulipa wanaojitoa ndio maana akapambana kwa nguvu zote
TIMU FULANI (HAYATI) MTAPATA TABU SANA....,
ZITTO KUISEMA KWELI IMEKUWA KAMA MWIBA KWAO,NAHITAJI KADI YA ACT WAZALENDO HARAKA SANA.
ZITTO NI KIJANA SAFI KABISA.
 
Mnavyolumbana hivi humu nabaki kwashangaa tu WTF! Nimeanza shifti ya food delivery masaa matatu yaliopita tayari nimeshapiga shifti 4, sasa hivi ninaning'iniza kaynday tu kwenye babywalker changu nikivizia shifti nyingine nikisoma jinsi mnavyolumbana humu.

Kumbuka shifti moja ni kama elfu 20 Madaf.

nyboma mmteule
Kama unaishi kihalali ni pesa ya kawaida ila kama unaishi kama panya ni pesa nyingi, hongera Maghayo uje ufungue hata ofisi ya udobi huku bongo umwage ajira kwa vijana wenzako
 
Mnavyolumbana hivi humu nabaki kwashangaa tu WTF! Nimeanza shifti ya food delivery masaa matatu yaliopita tayari nimeshapiga shifti 4, sasa hivi ninaning'iniza kaynday tu kwenye babywalker changu nikivizia shifti nyingine nikisoma jinsi mnavyolumbana humu.

Kumbuka shifti moja ni kama elfu 20 Madaf.

nyboma mmteule
Hongera Mkuu. Sie wengine hatuna kazi maalumu, kila siku inajitegemea, tunaishia kupewa promise
 
Mnavyolumbana hivi humu nabaki kwashangaa tu WTF! Nimeanza shifti ya food delivery masaa matatu yaliopita tayari nimeshapiga shifti 4, sasa hivi ninaning'iniza kaynday tu kwenye babywalker changu nikivizia shifti nyingine nikisoma jinsi mnavyolumbana humu.

Kumbuka shifti moja ni kama elfu 20 Madaf.

nyboma mmteule
Maghayo Vita ni Vita mura, wewe pambana lakini kumbuka kuwekeza nyumbani ili yakitokea huko kama ya Ukraine unarudi home kutulia. Lakini pia ukumbuke kupata muda wa Kujitoa Out na kuupunguzia mwili fatique ya kazi ngumu. Mind U hivyo Vibibi vya Kizungu achana navyo. Ukizidiwa agiza Kimwana toka kwa Putin maisha yaendelee, utafutaji hauna Chama ndugu yangu Mwanaume Anasifiwa Kazi Pambana🙏🙏
 
Back
Top Bottom