hitler2006
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 489
- 454
mtakimbilia bila kujua au kuambiwa mbona bangi inalipa na hamlimi wengi mbona ubunge unamshahara mnono na hamuwi weng mbona kuna mwana jana katusua m80 kwenye kubet kwa buku 5 na hamjatusua wengi oya mambo ya connection hayoo njoo pm ujue msio yajuaMiaka 60 kila mtu angekimbilia huko
24/7 masikioni, kibandani,kwenye boda,vijiweni wanasikia mziki singeli amapiano na stori za udaku umesahauKizazi hiki kinakutana na changamoto nyingi lakini yafuatayo ni mambo machache yanayoharibu maisha ya vijana wengi hapa nchini
°Ulevi wa pombe
°Uvutaji sigara, bange na dawa za kulevya
°Ngono zembe na umalaya wa kumiliki wanawake wengi
°Kamari na betting
°Ushabiki wa mipira simba na yanga
°Video za ngono {×}
°Kupiga nyeto
° kampani mbaya za marafiki
°Kujifanya mjanja wa kujaribu kila aina ya starehe
Naona umeweka sawa point ya mleta MADA hapo kwenye POMBE umeongezea KUPITILIZA kunywa kwa KIASI sio vibaya..Unataka kijana awe na uzoefu gani katika maisha asipofaya 50% ya hivyo hapo?
Hapo labda bangi, sigara, dawa za kulevya, kuhonga kizembe, ngono zembe na pombe kupitiliza...the rest wacha vijana wa experience
Mbona hapo naona sababu ni moja tuu hiyo ya mwisjo "KUJIFANYA MJANJA WA KUJARIBU KILA STAREHE" hii inabeba hizo zingine zoteKizazi hiki kinakutana na changamoto nyingi lakini yafuatayo ni mambo machache yanayoharibu maisha ya vijana wengi hapa nchini
°Ulevi wa pombe
°Uvutaji sigara, bange na dawa za kulevya
°Ngono zembe na umalaya wa kumiliki wanawake wengi
°Kamari na betting
°Ushabiki wa mipira simba na yanga
°Video za ngono {×}
°Kupiga nyeto
° kampani mbaya za marafiki
°Kujifanya mjanja wa kujaribu kila aina ya starehe
Kunywa kwa kiasi sio tatizo wala.Naona umeweka sawa point ya mleta MADA hapo kwenye POMBE umeongezea KUPITILIZA kunywa kwa KIASI sio vibaya..
Psychological effects zake ni mbaya mnoHii itoe hapo
mtakimbilia bila kujua au kuambiwa mbona bangi inalipa na hamlimi wengi mbona ubunge unamshahara mnono na hamuwi weng mbona kuna mwana jana katusua m80 kwenye kubet kwa buku 5 na hamjatusua wengi oya mambo ya connection hayoo njoo pm ujue msio yajuaKuna watu wanaenda kuliwa vichwa kupitia baadhi ya comment za uzi huu
miguu kukosa nguvu, kuchukia wanawakePsychological effects zake ni mbaya mno
Exactlymiguu kukosa nguvu, kuchukia wanawake
Siyo lazima mkuuSasa haya yote ni lazima kijana ayapitiee
kuliko kupata UTI, Gono na HIV ?Psychological effects zake ni mbaya mno
Ongezea:miguu kukosa nguvu, kuchukia wanawake
Vyote vipokuliko kupata UTI, Gono na HIV ?