Mambo yanayochangia kuharibu maisha ya vijana wengi

Mambo yanayochangia kuharibu maisha ya vijana wengi

Elimu mbovu,
Ukosefu wa ajira,
Siasa zisizojumuishi,
Ukosefu wa mitaji na elimu ya ujasiriamali
Sera mbovu zisizolenga kumkwamua kijana
Ulimbukeni wa kiteknolojia...hasa mitamdao ya kijamii..
Ngono biashara iliyo zembe....
BILA KUSAHAU VIONGOZI MAFISADI,WEZI WALA RUSHWA NA WASIOWAJIBIKA....
 
Miaka 60 kila mtu angekimbilia huko
mtakimbilia bila kujua au kuambiwa mbona bangi inalipa na hamlimi wengi mbona ubunge unamshahara mnono na hamuwi weng mbona kuna mwana jana katusua m80 kwenye kubet kwa buku 5 na hamjatusua wengi oya mambo ya connection hayoo njoo pm ujue msio yajua
 
Kizazi hiki kinakutana na changamoto nyingi lakini yafuatayo ni mambo machache yanayoharibu maisha ya vijana wengi hapa nchini

°Ulevi wa pombe
°Uvutaji sigara, bange na dawa za kulevya
°Ngono zembe na umalaya wa kumiliki wanawake wengi
°Kamari na betting
°Ushabiki wa mipira simba na yanga
°Video za ngono {×}
°Kupiga nyeto
° kampani mbaya za marafiki
°Kujifanya mjanja wa kujaribu kila aina ya starehe
24/7 masikioni, kibandani,kwenye boda,vijiweni wanasikia mziki singeli amapiano na stori za udaku umesahau

Ova
 
Unataka kijana awe na uzoefu gani katika maisha asipofaya 50% ya hivyo hapo?
Hapo labda bangi, sigara, dawa za kulevya, kuhonga kizembe, ngono zembe na pombe kupitiliza...the rest wacha vijana wa experience
Naona umeweka sawa point ya mleta MADA hapo kwenye POMBE umeongezea KUPITILIZA kunywa kwa KIASI sio vibaya..
 
Kizazi hiki kinakutana na changamoto nyingi lakini yafuatayo ni mambo machache yanayoharibu maisha ya vijana wengi hapa nchini

°Ulevi wa pombe
°Uvutaji sigara, bange na dawa za kulevya
°Ngono zembe na umalaya wa kumiliki wanawake wengi
°Kamari na betting
°Ushabiki wa mipira simba na yanga
°Video za ngono {×}
°Kupiga nyeto
° kampani mbaya za marafiki
°Kujifanya mjanja wa kujaribu kila aina ya starehe
Mbona hapo naona sababu ni moja tuu hiyo ya mwisjo "KUJIFANYA MJANJA WA KUJARIBU KILA STAREHE" hii inabeba hizo zingine zote
 
Kuna watu wanaenda kuliwa vichwa kupitia baadhi ya comment za uzi huu

Back
Top Bottom