Mambo yanayochangia mume kutembea na hausigeli

Kutembea na hg ni tamaa tu ya mwili. Je wale wanaotembea na kila hg anayeletwa nyumbani kwake wote wanakuwa na mvuto sawa? Au anakuwa anapenda kuloweka rungu kila anapoona shimo!! Mashimo mengine yana ncha kali ataacha kichwa cha rungu ndiyo apate akili.
 

hilo nalo neno
 

he he hee! asante
 

mhhhhhhhh haya bhana. usiwadanganye wenzio wakawa na mtazamo kama wako kwa sababu yaweza waletea shida kwenye ndoa zao
 
Hapo hamna mume hapo, ndoa na heshimiwe na watu wote. hasa wenyendoa wenyewe. pia housegirl ni kama member wa familia, wanafamilia lazima mumlinde na kumuheshimu na ma housegirl wengi tulionao ni wadogo wanahitaji maelekezo na kulelewa sio kugeuzwa vimada.Mara zote kosa ni la baba na tamaa zake. hata akitegwa na housegirl yeye anatakiwa kuitetea ndoa yake na kuwa imara.
Mume anayeamua kutembea nje ya ndoa haijalishi ni house girl, mpangaji mwenzie, jirani au secretary wake. ni mzigo na laana kwa jamii. hajitambui, hajali watoto wala mkewe ni mbinafsi anajali tamaa zake tu. Anahitaji Neema ya Mungu imkomboe.
 
mhhhhhhhh haya bhana. usiwadanganye wenzio wakawa na mtazamo kama wako kwa sababu yaweza waletea shida kwenye ndoa zao
hapo nimejiuliza tu na wala sijasema watu wafanye hayo......
unajua wadada tumetofautiana sana....
kuna ambao toka wakiwa wapenzi.... zile siku za kutoroka na kwenda kulala kwa mpenzi akiwa huko anamfanyia mkaka kila kitu. kumwogesha/kumfulia/kutandika kitanda/kumlisha........ ref post namba 92 ya Fidel80..... na ukute huyo kaka kaamua kukuoa kwa sababu tu anajua utamfanyia kila kitu, ukibadilika ukishakuwa ndani majeshi yatahamia kwa hg ambaye anafanya hizo kazi......
kuna watu kama mimi, nafanya kitu kwa mapenzi, kuwa nimependa kukufanyia hiki. kama kitu sipendi kufanya nakuambia tangu enzi za urafiki...... hapo hata sijui kuwa unanichunguza kunifanya mke au la. nakuwa real. kama unataka kuwa mke wake basi usitegemee nitabadilika. huyu anakuwa keshazoea maisha ya kujitegemea, na anajua kabisa akinioa mwendo ni huo huo, sasa nitamshangaa akigeukia kwa hg sababu eti hapati hizo huduma toka kwangu.
 
Last edited by a moderator:
kazi kweli na nyumba utapanga yenye wapangaji wabaya?na ndugu wazuri waliokuzidi utapiga marufuku kwako?majirani?wafanyakazi wenzie? Mume asiyeheshimu ndoa yake aendee tu, tabu yote ya nini?mume halindwi hivyo,maadui ni hao waume zetu na tamaa zao mahousegirl hawana kosa mimi hata ikinitokea nikiamua kudeal na mtu basi ni huyo mume na si housegirl.
 
Chimbuko la yote ni TAMAA wala tusiandike sana.

watu8 topic umeimeza, hakuna kiumbe asiye Na tamaa, Usipokuwa Na tamaa Basi weye SIO kiumbe Wa kawaida , labda ungesema wanaume wanaotembea Na Bint hawa Kwa Sababu mabint wenyewe hujilengesha Na kuwapenda ma mr wao. Na kwasababu wanaume wengi Wa hivi ni wavivu, au jobless, au hawana shughuli tight Basi nao huingia kiulaini mtegoni.. JICHUNGUZE
 
Last edited by a moderator:
Mambo mengine yaliyosababisha best wangu kutembea na house girl ambaye hata si mzuri kama mke wake: Alisema yafuatayo
1. House girl ndiye anayenifungulia geti huku wife akiwa chumbani
2. house girl ndiye anayenipokea laptop na vitu mbalimbali ninavyokuja navyo jioni kwa ajili ya familia
3. House girl huwa wa kwanza kufungua milango yagari kuangalia nimebeba nini ili apeleke ndani.
4. House girl ndiye anaye nipikia na kuandaa chai
5. Jioni nikiwa sebuleni house girl ndiye anaye niandalia chakula na chai ya jioni.
6. house girl ndiye anaye nichemshia maji ya kuoga na kuniwekea mlango wa chumba chetu
7. House girl ndiye anayefua ngua zangu nyingi
8.House girl ndiye anayefungua milango asubuhi na kufunga jioni
9. House girl ndiye anayeleta chakula mezani yeye wife anasema tu KARIBU
10. House girl ndiye anayefanya usafi wa nje na ndani ya nyumba(isipokuwa chumba chetu)
11. House girl ndiye anaye nisaidia ku pasi nguo zangu.

Hivi kwa staili hii huyu mama mwenye nyumba au Mke ana haki gani ya kulalamika pale mumewe anapoamua ku mis behave na huyu house girl wakati yeye ni kama mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…