Mambo yanayochangia mume kutembea na hausigeli

okey kama ni hivyo housegal amsaidia mama za ndani na wewe houseboy akusaidie za nje,SORTED

hahaha ndio mana wanaume wengi hatuajir mahouseboy tunaajiri shambaboy mpaka uje kumsaidia huko inabid uende shamba,kazi kwenu akina mama mnaolalamika kazi ni nyingi mnataka msaidizi wa kazi za ndani
 

Wakati housegirl anafanya yote haya huenda:
1. Mama yuko kazini akitafuta pesa za kusupport familia yenu
2. Mama yuko ndani anaogesha watoto
3. Mama yuko ndani anasaidia watoto na homework
4. Mama anauguza mtoto
5. Mama kapeleka mtoto hospitali
6. Mama nae ndo amerudi home, anaoga ajiweke safi kabla mumewe hajarudi
7. Mama anaandaa watoto kwa ajili ya shule asubuhi
8. Mama inabidi arudie kufua au kupasi nguo zako sababu housegirl kavuruga mambo tena.
9. Mama anajiandaa kwa ajili ya kazi kesho
10. Mama anaumwa ( shocking!!!! She is human after all).


Point yangu ni mwanamme mjinga anaona mambo juu juu tu, haoni afanyayo mke wake. Anaangalia asichokifanya. Kutembea na housegirl ni laana, uvivu na ujinga sababu unaibomoa ndoa na familia yak. Imagine watoto wako wakifahamu? Mtu yoyote anaweza kufua, kupika n kubeba viroba, lakini si wote watakaoweza kukutunza Wewe na watoto wako.
 
What is this thread about? Are you actually trying to find them excuses???
 
Samahani wasomaji nina masilahi ktk HILI ila NAOMBA msiseme kwa waif naOmba nisichangie kabisa KWA LEO .kwa heRI na please weight.
 

Well said best angu @lara moko

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
chanzo kikubwa niwanawake we2 2lio waoa.wew mwanamke utamalizaje mwez mzima mmeo ajakuomba kusex?nawew ume2lia?nyabafu

mie hata asiponiomba haijalishi. nitaombwa na mwingine.

hapa ngoma draw tu, ukimwaga ugali na mi namwaga mboga. Then tutaona nani atakayekufa kwa njaa
 
Amini nakwambia FP wamama mlio wengi mkisha olewa basi kila kitu mnastaafu amini na kwambia

Hili ndilo kila kitu Fidel!!! Mwanamke ana watoto wawili tu lakini anaishi kama mbibi wa miaka sitini!!! Unajitahidi kumbadilisha awe unavyopenda na habadiliki then kuna kabinti ka kazi kanajiweka vizuri utadhan kenyewe ndo ka maza hauz!! Kwa nini nisikafumue banaa!!!
 
Mwanaume akiwa mchepukaji hata umpe voda,airtel nk na tundu la pua na sikio akutie bado atachepuka tuuuu...nikiwa wife wl always do what i can do,ukitaka kuchepuka baba wahiii njia iko wazi presha za kazi gani...utakaba nyumbani kazini wanamchukua kiulainiiiiii,inahuuuu...??
Haina tofauti na mwanaume ambae unakuta ni kicheche balaa yet anataka wife mwaminifu au bikra kabisa,inahuu??
 
Mmmmh
 
 
Anaangalia movie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…