Mambo yanayoendelea Bar ya Savoy, sio tamaduni zetu

Umelalamika sana lakini hujaeleza kwa kina ni vitu gani hasa vinavyoendelea hapo ambavyo ni kinyume na utamaduni wetu.
Utamaduni wetu upi mana kwa sasa hatunanutamaduni bali tunatembelea lingi la waarabu na wazungu.

Tamaduni zetu kuvaa nusu uchi ilikua poa tu.
 
Naamini kupitia uzi huu wamepata wateja wapya
 
Sasa ukimkuta binti ameachia hadi vuzi nje utavumilia kweli mkuu?
Kuwa imara hivyo ni viungo tu.
Ukionana na vile viumbe...uambie moyo wako...chui yuleeee😄
 
Utamaduni wetu ni upi na ulianza lini ?
Tumie neno sio ustaarabu wa dini. Angalia wazuru wahimba, wamasai nk wanavyovaa
ndio utamaduni wa watu weusi. Huo mwingine ni utamaduni wa wageni waarabu na wazungu. Kutembea uchi nao ni tamaduni ilioigwa kwa wazungu kama ilivyoigwa kuvaa mavazi marefu.
Utandawazi utaleta kila jambo ksma ukoloni ulivyoleta.
Ni mtizamo wangu sio sheria mkuu.
 
Utamaduni wetu upi mana kwa sasa hatunanutamaduni bali tunatembelea lingi la waarabu na wazungu.

Tamaduni zetu kuvaa nusu uchi ilikua poa tu.
Imebaki kwa wacheza ngoma za asili. Na kila mtu huvutiwa kuziangalia. Wakoloni jau sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…