Mambo yanayoendelea Bar ya Savoy, sio tamaduni zetu

Mambo yanayoendelea Bar ya Savoy, sio tamaduni zetu

View attachment 3143263
Wakuu, habari za mihangaiko
Aisee Kwa wenyeji wa Buza bila shaka mnaelewa Hili.
Hii bar inaitwa New Savoy Iko Buza kanisani, Shughuli zinazoendelea hapa zimevuka utamaduni wetu, Sawa Kila mtu ana uhuru lakini kweli ndio hivi? Ifikapo saa 2 jioni hii njia unaogopa hata kupitia, ni mwendo WA kutembea uchi tu. Yaani kuanzia hii mida ni kama wanawake ndo mida ya kuanza biashara zao, aisee hii sio sawa,​

ukizingatia Bar hii Iko njiani, yaani barabarani kabisa, Sasa kama ni Bar aisee shughuli zote si ziendelee ndani???
Kwanini hayo mazingira yageuzwe dangulo??? .

Naamini Kwa wenyeji wa maeneo hayo wananielewa vizuri.
Lipia tangazo.

Hapo umechochea zaidi watu wazidi kumiminika hapo
 
aisee starehe ina tafsiri kubwa. Nilikuwa sijawahi kupita kitambaa cheupe tbt jana nimepita nikaiona sikuamini macho yangu kama pale ndipo kitambaa cheupe maana kwa jinsi nilivyokuwa naisikia nilidhani sehemu moja matata sana kumbe ni kama banda fulani la ng'ombe.
Sehemu ya ovyo tu...hapo wanakwenda watu wa ovyo

Ova
 
aisee starehe ina tafsiri kubwa. Nilikuwa sijawahi kupita kitambaa cheupe tbt jana nimepita nikaiona sikuamini macho yangu kama pale ndipo kitambaa cheupe maana kwa jinsi nilivyokuwa naisikia nilidhani sehemu moja matata sana kumbe ni kama banda fulani la ng'ombe.
Hapo kama KWA MACHENI enzi hizo jina kubwa sehemu yenyewe mfano wa ubanda wa mama muuza chingiri.
Muulize mrangi
 
Back
Top Bottom