Mambo yanayoendelea Bar ya Savoy, sio tamaduni zetu

Mamlaka ndiyo inapenda kuona watu wakijichanganya na mambo hayo...
Bongo sahvi watu ni kulewa,kukatika mauno miziki kwishney
Huko savoy vibinti vinatoaa tig kama hawana akili nzr....

Ova
Hivi pale Kona baa (sahivi vibe lounge) bado kuna Malaya ambao ni pisi Kali kama ilivokua zamani mrangi
 
View attachment 3143263
Wakuu, habari za mihangaiko
Aisee Kwa wenyeji wa Buza bila shaka mnaelewa Hili.
Hii bar inaitwa New Savoy Iko Buza kanisani, Shughuli zinazoendelea hapa zimevuka utamaduni wetu, Sawa Kila mtu ana uhuru lakini kweli ndio hivi? Ifikapo saa 2 jioni hii njia unaogopa hata kupitia, ni mwendo WA kutembea uchi tu. Yaani kuanzia hii mida ni kama wanawake ndo mida ya kuanza biashara zao, aisee hii sio sawa,​

ukizingatia Bar hii Iko njiani, yaani barabarani kabisa, Sasa kama ni Bar aisee shughuli zote si ziendelee ndani???
Kwanini hayo mazingira yageuzwe dangulo??? .

Naamini Kwa wenyeji wa maeneo hayo wananielewa vizuri.
Badala ya kuwasema wanaotembea uchi unaisema bar🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hivi pale Kona baa (sahivi vibe lounge) bado kuna Malaya ambao ni pisi Kali kama ilivokua zamani mrangi
😄 mida sana sijapita pande Ile
Ila sinza sehemu nyingi malay wapo wa kutosha mkuu
Sinza,tabata kino sahv anasubiri
Ukienda buza huko chamaz mbagala ndy watoto wa kuku wa kienyeji

Ova
 
View attachment 3143263
Wakuu, habari za mihangaiko
Aisee Kwa wenyeji wa Buza bila shaka mnaelewa Hili.
Hii bar inaitwa New Savoy Iko Buza kanisani, Shughuli zinazoendelea hapa zimevuka utamaduni wetu, Sawa Kila mtu ana uhuru lakini kweli ndio hivi? Ifikapo saa 2 jioni hii njia unaogopa hata kupitia, ni mwendo WA kutembea uchi tu. Yaani kuanzia hii mida ni kama wanawake ndo mida ya kuanza biashara zao, aisee hii sio sawa,​

ukizingatia Bar hii Iko njiani, yaani barabarani kabisa, Sasa kama ni Bar aisee shughuli zote si ziendelee ndani???
Kwanini hayo mazingira yageuzwe dangulo??? .

Naamini Kwa wenyeji wa maeneo hayo wananielewa vizuri.
aisee starehe ina tafsiri kubwa. Nilikuwa sijawahi kupita kitambaa cheupe tbt jana nimepita nikaiona sikuamini macho yangu kama pale ndipo kitambaa cheupe maana kwa jinsi nilivyokuwa naisikia nilidhani sehemu moja matata sana kumbe ni kama banda fulani la ng'ombe.
 
Usitikirie Kwa kutumia miguu, kwani hao wangetoka wapi bila bar kuwepo???? Na kama bar isinge intertain Hilo unahisi wangeendelea?
Sawa kwa miguu hii hii hauwezi kulaumu bar wakati wateja wa bar ni walevi na sio hao watu wengine. Hata wakija polisi hapo watawakamata hao watu lakini hawatafunga bar.
 
Hii ndio shida ya kuongea kitu usiyofahamu? Bar unazojua wewe ndo Kuna walevi tu, hizi huku unakunywa na kujipoza
 
Back
Top Bottom