Mambo yanayoendelea Bar ya Savoy, sio tamaduni zetu

hii yote inatokana na ubishi wa Mwanamke!
hataki kutawaliwa na anapenda ajitawale pia aweze kumiliki kila kitu kama mwanaume.
matokeo yake ikishindikana anajikataa na kuwa tayari kufanya chochote kile ili siku ziende.
ni shida kidogo hili lipo vizazi hadi vizazi sema tu utendaji umeboreshwa kulingana na aina ya wateja pia maitaji yaliyopo.
 
Shida Yako umekurupuka, sijalaumu kanisa , ila kama unaona ni fresh, Haina noma Kila mtu ana notion tofauti
Ngoja nikusaidie kufikiri kidogo, hao wadada wameenda hapo kwa ajili ya kuwa pengine kuna wateja. Hii biashara ya umalaya haimhusu mwenye bar. Ndio maana nikkupa na mfano wa Dodoma ili kuonesha kuwa, saa nyingine eneo linaweza kushamiri kwa hii biashara bila idhini ya wenye eneo.
 
View attachment 3143263
Wakuu, habari za mihangaiko
Aisee Kwa wenyeji wa Buza bila shaka mnaelewa Hili.
Hii bar inaitwa New Savoy Iko Buza kanisani, Shughuli zinazoendelea hapa zimevuka utamaduni wetu, Sawa Kila mtu ana uhuru lakini kweli ndio hivi? Ifikapo saa 2 jioni hii njia unaogopa hata kupitia, ni mwendo WA kutembea uchi tu. Yaani kuanzia hii mida ni kama wanawake ndo mida ya kuanza biashara zao, aisee hii sio sawa,​

ukizingatia Bar hii Iko njiani, yaani barabarani kabisa, Sasa kama ni Bar aisee shughuli zote si ziendelee ndani???
Kwanini hayo mazingira yageuzwe dangulo??? .

Naamini Kwa wenyeji wa maeneo hayo wananielewa vizuri.
Usisahau kuzaliwa huko kila mbachao na muda wake🏡🏡🏡🏡
 
Sisi badooooo ni watumwa tunaboresha bar za ulayaaaaaaa magaribi🏡🏡🏡🏡🏡 unaweza panda ndege✈✈✈✈✈✈✈✈ ukawachungulie kama hizo tabia wanazo
 
View attachment 3143263
Wakuu, habari za mihangaiko
Aisee Kwa wenyeji wa Buza bila shaka mnaelewa Hili.
Hii bar inaitwa New Savoy Iko Buza kanisani, Shughuli zinazoendelea hapa zimevuka utamaduni wetu, Sawa Kila mtu ana uhuru lakini kweli ndio hivi? Ifikapo saa 2 jioni hii njia unaogopa hata kupitia, ni mwendo WA kutembea uchi tu. Yaani kuanzia hii mida ni kama wanawake ndo mida ya kuanza biashara zao, aisee hii sio sawa,​

ukizingatia Bar hii Iko njiani, yaani barabarani kabisa, Sasa kama ni Bar aisee shughuli zote si ziendelee ndani???
Kwanini hayo mazingira yageuzwe dangulo??? .

Naamini Kwa wenyeji wa maeneo hayo wananielewa vizuri.
Sio Tabia nzuri kabisa naomba maelekezo vizuri nafikaje apo nikakemee huu ujinga koh koh koh 😋😋😋😋
 
Back
Top Bottom