Mambo yanayoendelea Bar ya Savoy, sio tamaduni zetu

View attachment 3143263
Wakuu, habari za mihangaiko
Aisee Kwa wenyeji wa Buza bila shaka mnaelewa Hili.
Hii bar inaitwa New Savoy Iko Buza kanisani.
Shughuli zinazoendelea hapa zimevuka utamaduni wetu.
Sawa Kila mtu ana uhuru lakini kweli ndio hivi? Ifikapo saa 2 jioni hii njia unaogopa hata kupitia, ni mwendo WA kutembea uchi tu.
Yaani kuanzia hii mida ni kama wanawake ndo mida ya kuanza biashara zao, aisee hii sio sawa,

ukizingatia Bar hii Iko njiani, yaani barabarani kabisa, Sasa kama ni Bar aisee shughuli zote si ziendelee ndani??? Kwanini hayo mazingira yageuzwe dangulo??? .
Naamini Kwa wenyeji wa maeneo hayo wananielewa vizuri.
Unaharibu biashara za watu, kwani mwenye hio bar ndio anawauza hao wanawake?. Dom kuna danguro lipo karibu na msikiti, yaani saa kumi tayari wadada washakiwasha, hapa napo tuwalaumu viongozi wa msikiti?
 
Unaharibu biashara za watu, kwani mwenye hio bar ndio anawauza hao wanawake?. Dom kuna danguro lipo karibu na msikiti, yaani saa kumi tayari wadada washakiwasha, hapa napo tuwalaumu viongozi wa msikit
Shida Yako umekurupuka, sijalaumu kanisa , ila kama unaona ni fresh, Haina noma Kila mtu ana notion tofauti
 
View attachment 3143263
Wakuu, habari za mihangaiko
Aisee Kwa wenyeji wa Buza bila shaka mnaelewa Hili.
Hii bar inaitwa New Savoy Iko Buza kanisani.
Shughuli zinazoendelea hapa zimevuka utamaduni wetu.
Sawa Kila mtu ana uhuru lakini kweli ndio hivi? Ifikapo saa 2 jioni hii njia unaogopa hata kupitia, ni mwendo WA kutembea uchi tu.
Yaani kuanzia hii mida ni kama wanawake ndo mida ya kuanza biashara zao, aisee hii sio sawa,

ukizingatia Bar hii Iko njiani, yaani barabarani kabisa, Sasa kama ni Bar aisee shughuli zote si ziendelee ndani??? Kwanini hayo mazingira yageuzwe dangulo??? .
Naamini Kwa wenyeji wa maeneo hayo wananielewa vizuri.
Panafaa kwenda kufanya utalii na kujionea kwa macho.. Hicho ndio chakula cha macho
 
Back
Top Bottom