Mambo yanayoendelea Bar ya Savoy, sio tamaduni zetu

View attachment 3143263
Wakuu, habari za mihangaiko
Aisee Kwa wenyeji wa Buza bila shaka mnaelewa Hili.
Hii bar inaitwa New Savoy Iko Buza kanisani.
Shughuli zinazoendelea hapa zimevuka utamaduni wetu.
Sawa Kila mtu ana uhuru lakini kweli ndio hivi? Ifikapo saa 2 jioni hii njia unaogopa hata kupitia, ni mwendo WA kutembea uchi tu.
Yaani kuanzia hii mida ni kama wanawake ndo mida ya kuanza biashara zao, aisee hii sio sawa,

ukizingatia Bar hii Iko njiani, yaani barabarani kabisa, Sasa kama ni Bar aisee shughuli zote si ziendelee ndani??? Kwanini hayo mazingira yageuzwe dangulo??? .
Naamini Kwa wenyeji wa maeneo hayo wananielewa vizuri.
Ebu nyoosha maelezo mkuu kanisani kwa wapi?
 
Chalamila si alisema anatokomeza hiyo ishu? Ni Mpuuzi sana sijui hata kama anajua maana ya kutokomeza?
 
Kwani kuvaa suti,suruali,shati,gauni na kanzu ndio utamaduni wetu?
Wahenga wetu walivaa nini?Utamaduni wetu unaouzungumzia ni upi?
Wewe hapo ulipo umevaa Nini??? Tuanzie hapo
 
View attachment 3143263
Wakuu, habari za mihangaiko
Aisee Kwa wenyeji wa Buza bila shaka mnaelewa Hili.
Hii bar inaitwa New Savoy Iko Buza kanisani.
Shughuli zinazoendelea hapa zimevuka utamaduni wetu.
Sawa Kila mtu ana uhuru lakini kweli ndio hivi? Ifikapo saa 2 jioni hii njia unaogopa hata kupitia, ni mwendo WA kutembea uchi tu.
Yaani kuanzia hii mida ni kama wanawake ndo mida ya kuanza biashara zao, aisee hii sio sawa,

ukizingatia Bar hii Iko njiani, yaani barabarani kabisa, Sasa kama ni Bar aisee shughuli zote si ziendelee ndani??? Kwanini hayo mazingira yageuzwe dangulo??? .
Naamini Kwa wenyeji wa maeneo hayo wananielewa vizuri.
hata ka video clip hakuna?
 
Hapo pembeni mtu kaweka bango"MACHO MAKUKU", sijui ndiyo ma nini hayo.
 
Back
Top Bottom