Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 16,583
- 42,992
JWTZ mambo yote yanayofanywa na serikali ya kiraia (CCM ) mnayaona mnayafumbia macho kwasasa usalama wa taifa na polisi ni matawi ya CCM ila nyie JWTZ mmeanza kudharauliwa mno kwasasa ile heshima ya zamani hamna tena kwenye JAMII .
Ila tusemayo wananchi ni yakini siku Malawi wakizingua mtapigwa mchana peupe kutokea mbeya na Kenya watawapiga jwtz kutokea Moshi na sirari Uganda itawapiga kutokea bukoba na kagame aka Rwanda watakichafua kama ilivyo Ari yao kutokea kigoma.
Na huko kote watanzania watawaunga mkono maadui kwasababu vyombo vyao vya usalama vimewasaliti. Na kwabahati mbaya mliemuweka ikulu anatokea Zanzibar na ndio maana watu kama kina shehe Mwaipopo wanafumbiwa macho . Matokeo yake ni kuigawa Tanganyika! Huu ndio mwisho wa taifa la Tanzania ambalo ni shamba la bibi ambalo tumelikabidhi Kwa bibi mzanzibari.