Mambo yanayofanywa na CCM na serikali yake JWTZ mnayaona mnakaa kimya ila kuna siku mtatamani zirudi nyuma

Mambo yanayofanywa na CCM na serikali yake JWTZ mnayaona mnakaa kimya ila kuna siku mtatamani zirudi nyuma

Mambo ya shehe mwaipona yule aliyejitokeza Leo anaitwa mgomvi na hawakamatwi hii unaona sawa ? Shehe mwaipopo katangaza ana jeshi la watu 38000 elfu thelathini na nanane nje ya mfumo wetu wetu wa vyombo vyetu halali kikatiba je hapo ni sawa?
Yaani jeshi liache kukumbuka vitu nyeti, waje wakumbuke udwazi wa jf member.
 
Mambo ya shehe mwaipona yule aliyejitokeza Leo anaitwa mgomvi na hawakamatwi hii unaona sawa ? Shehe mwaipopo katangaza ana jeshi la watu 38000 elfu thelathini na nanane nje ya mfumo wetu wetu wa vyombo vyetu halali kikatiba je hapo ni sawa?
Vipo vyombo vya kushughulika na wakina mwaipopo.
 
Kwa hiyo wewe utaishi milele?
Au ukiwa anti government haufi.
Akili zingine bwana ni very useless.
Pokea ushauri acha kujifanya mjuaji. Unaambiwa Pole Pole alijifanya mwana CCM kuliko hata wewe. Ila alikuwa na CCM hiyo hiyo unayojifanya kutetea. Siku yako ipo utalilia msaada na hakuna wa kukusaidia.
 
Wamekusikia ilipaswa uwape na muelekeo wa cha kufanya.

Kama ujakomaa kisiasa ni bora uendelee na mambo mengine si upuuzi kama huu wa kutaka kitonga.
 
Jwtz mambo yote yanayofanywa na serikali ya kiraia (ccm ) mnayaona mnayafumbia macho kwasasa usalama wa taifa na polisi ni matawi ya ccm ila nyie jwtz mmeanza kudharauliwa mno kwasasa ile heshima ya zamani hamna tena kwenye JAMII kwasababu nyie ni TAWI moja na policcm. Ila tusemayo wananchi ni yakini siku Malawi wakizingua mtapigwa mchana peupe kutokea mbeya na Kenya watawapiga jwtz kutokea Moshi na sirari Uganda itawapiga kutokea bukoba na kagame aka Rwanda watakichafua kama ilivyo Ari yao kutokea kigoma. Na huko kote watanzania watawaunga mkono maadui kwasababu vyombo vyao vya usalama vimewasaliti. Na kwabahati mbaya mliemuweka ikulu anatokea Zanzibar na ndio maana watu kama kina shehe mwaipopo wanafumbiwa macho na mzanzibari. Matokeo yake ni kuigawa Tanganyika! Huu ndio mwisho wa taifa la Tanzania ambalo ni shamba la bibi ambalo tumelikabidhi Kwa bibi mzanzibari.

Mods naomba msifute huu Uzi ni alert Kwa Taifa jwtz na watanzania.
We umeshachanganyikiwa nenda katibiwe na uachane na siasa
 
Pokea ushauri acha kujifanya mjuaji. Unaambiwa Pole Pole alijifanya mwana CCM kuliko hata wewe. Ila alikuwa na CCM hiyo hiyo unayojifanya kutetea. Siku yako ipo utalilia msaada na hakuna wa kukusaidia.
Jibu hoja
Wewe utaishi milele?
Au ukiwa mpinzani kinga dhidi ya kifo?
Kwanini mnakuwa na mawazo ya kijinga?
Sijawahi kumsikia Mh Heche akiongelea ujinga kama huo, nyinyi mnatoa wapi hayo mambo ya kijinga?
 
Jifanye umechanganyikiwa. Ipo siku akili zako zitafanya kazi. Akina musiba wapo wapi?
Kama ambavyo musiba hajui mimi nilipo hata mimi sihitaji kujua alipo.
Kufuatilia fuatilia mitikasi za watu ni tabia za kishamba.
 
Back
Top Bottom