Mambo yanayofanywa na CCM na serikali yake JWTZ mnayaona mnakaa kimya ila kuna siku mtatamani zirudi nyuma

Mambo yanayofanywa na CCM na serikali yake JWTZ mnayaona mnakaa kimya ila kuna siku mtatamani zirudi nyuma

Hangaya aliposema vyombo vyote vya ulinzi viko chini yake hivyo hakutakuwa na nywi nywi nywi, ulielewaje?
Au wewe ni miongoni mwa wale ambao uelewa kwao ni bidhaa adimu!
Aliongea kwa capacity ipi?
 
Mods naomba huu Uzi usifutwe ili sisi wazalendo WA kweli tuweze kuwasikina na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama maana hakuna mahali wanaweza soma mawazo ya wengi zaindi ya humu.
Usahihi wa mawazo yako upo kwenye mantiki ambayo bado haijaonekana katika fikira zao kwa sasa.

Wanajeshi kuapa kuilinda Katiba, nadhani kiapo hicho wanachokiapa huwa hakina maana kwao ama huwa wanaapa bila kujua tafsiri sahihi ya kiapo hicho kutokana na amani iliyopo kulevya.

Yaliyotokea mwaka jana pamoja na matendo mengine mengi ya uvunjwaji wa Katiba unaoendelezwa na viongozi hadi sasa yalitosha kudhihirisha kwa vitendo namna sahihi ya kuilinda na kuitetea Katiba inavyokuwa pindi ilipovunjwa.

Kwa kujua ama kutokujua, ghadhabu ya nchi inatokana na huo mwendelezo wa uvunjaji wa Katiba na uminywaji wa haki za raia, lakini wao wakiendelea kufumbia macho.

Wanachokiona chepesi na si tishio ni wao kuwa na silaha na uwezo wa kukandamiza maandamano ya raia wasio na silaha.

Yote haya ya kushindwa kuziba ufa yatawafanya kuonja adha ya kujenga ukuta huku wakilala nje.

Yanayokuja ya kujenga ukuta, yatakuwa ni ya kwao yasiyohitaji ujanja ujanja kuyamaliza.

Kwa kushindwa kwao kuwajibika ni lazima vikundi vya silaha vya ki Boko haramu vitatokea tu.

Hapo ndipo watakapowajibika kivyao bila kupata msaada kutoka kwa raia.

Na kumbuka kuvimaliza vita vya ndani bila msaada wa raia ni aghalabu sana, waulize Nigeria.

Tunakokwenda ninatabiri kwa uzoefu ingawa siombei, maandamano yatakapokandamizwa, ndiyo baadaye itapelekea kufumuka vikundi vyenye silaha ndipo maisha ya wanajeshi yatakapokuwa rehani dhahiri.

Wao waendelee kuchukulia poa.
 
Tatizo jeshi nalo limejaa ma ccm tu, si unaona nafasi zikitoka wengi wanaenda uvccm (kipaumbele)
 
Kuonya ni adhabu inayotolewa na mahakama.

Je wewe umekuwa ni mahakama ya kuonya watu?

Hakuna jipya linaloweza kumfanya mtu anywee kwenye uonevu, halipo
Hata mzazi wako anaweza kukuonya
Mimi natoa onyo kama mzazi
 
JWTZ mambo yote yanayofanywa na serikali ya kiraia (CCM ) mnayaona mnayafumbia macho kwasasa usalama wa taifa na polisi ni matawi ya CCM ila nyie JWTZ mmeanza kudharauliwa mno kwasasa ile heshima ya zamani hamna tena kwenye JAMII .

Ila tusemayo wananchi ni yakini siku Malawi wakizingua mtapigwa mchana peupe kutokea mbeya na Kenya watawapiga jwtz kutokea Moshi na sirari Uganda itawapiga kutokea bukoba na kagame aka Rwanda watakichafua kama ilivyo Ari yao kutokea kigoma.

Na huko kote watanzania watawaunga mkono maadui kwasababu vyombo vyao vya usalama vimewasaliti. Na kwabahati mbaya mliemuweka ikulu anatokea Zanzibar na ndio maana watu kama kina shehe Mwaipopo wanafumbiwa macho . Matokeo yake ni kuigawa Tanganyika! Huu ndio mwisho wa taifa la Tanzania ambalo ni shamba la bibi ambalo tumelikabidhi Kwa bibi mzanzibari.
Sasa. Hao JWTZ si ndio mbwa kabisa wa CXM hao!
 
JWTZ = CCM
CCM = JWTZ.

Hakuna aliye salama.
Mtandao wametubana kila kona.
 
Wazee wa Kumlaumu Nyerere.
Mwalimu Nyerere alipeleka siasa ndani ya Jeshi.
Ndani ya Jeshi kulikuwa na Kitengo cha Siasa.

Baadhi ya watu waliotoka huko jeshini na kushika nyadhifa kubwa ni.
Kikwete.
Kinana.
Makamba.
Lubinga.
Komba.
Mombokaleo Nk Nk nk
 
Walisema samia ataleta katiba mpya na kuliponya taifa ..niliwaambia hapa kuwa ilikuwa rahisi kupata katiba mpya chini ya jpm kuliko samia.. walinitukana sana na jf kunipiga ban sana ...siku zote huwa nasema hapa kuwa mpumbavu ujifunza kwa hasara na maumivu na Majuto na mauti.
JWTZ mambo yote yanayofanywa na serikali ya kiraia (CCM ) mnayaona mnayafumbia macho kwasasa usalama wa taifa na polisi ni matawi ya CCM ila nyie JWTZ mmeanza kudharauliwa mno kwasasa ile heshima ya zamani hamna tena kwenye JAMII .

Ila tusemayo wananchi ni yakini siku Malawi wakizingua mtapigwa mchana peupe kutokea mbeya na Kenya watawapiga jwtz kutokea Moshi na sirari Uganda itawapiga kutokea bukoba na kagame aka Rwanda watakichafua kama ilivyo Ari yao kutokea kigoma.

Na huko kote watanzania watawaunga mkono maadui kwasababu vyombo vyao vya usalama vimewasaliti. Na kwabahati mbaya mliemuweka ikulu anatokea Zanzibar na ndio maana watu kama kina shehe Mwaipopo wanafumbiwa macho . Matokeo yake ni kuigawa Tanganyika! Huu ndio mwisho wa taifa la Tanzania ambalo ni shamba la bibi ambalo tumelikabidhi Kwa bibi mzanzibari.
 
Mods naomba huu Uzi usifutwe ili sisi wazalendo WA kweli tuweze kuwasikina na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama maana hakuna mahali wanaweza soma mawazo ya wengi zaindi ya humu.
Naunga mkono hoja ya mdau
 
Kuna siku nimepita mitaa ya mbagala nimeona wameuza kambi ya jeshi kwa GSM imekuwa bandari kavu inaleta foleni kubwa.
 
Waislamu walisema samia ataleta katiba mpya na kuliponya taifa ..niliwaambia hapa kuwa ilikuwa rahisi kupata katiba mpya chini ya jpm kuliko samia.. walinitukana sana na jf kunipiga ban sana ...siku zote huwa nasema hapa kuwa mpumbavu ujifunza kwa hasara na maumivu na Maputo na mauti.
Comment bora sana hii.
Rekebisha hilo neno Maputo(majuto) ili usomeke vizuri sir!
 
Back
Top Bottom