Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha kukariri
Some guys wanaenda kanisani kwa ajili ya mawindo..[emoji2218]Anayeenda kanisani anajua anachokitafuta
Si vibaya ukipata mwenza kanisani kuliko bar au disco
Nop, kuna kitu inaitwa Mtaguso, taratibu huwa zinabadirika baadhi, usiooohudhuria misa kwa muda mrefu utakereka tu na mabadliko hayoacha kukariri
Itokee tu coincedenceSi vibaya ukipata mwenza kanisani kuliko bar au disco
Inafaa sana kuyatoa hususan wakati wa kujaza Dodoso la Sinodi ngazi ya jumuiya na parokia. Tema cheche/kero zote kwa manufaa ya Kanisa.duh watu mna ya moyoni mengi
Mtaguso, sinodi na blah blah nyingine hazihitajiki kusuluhisha matatizo tajwa kwenye uzi. Kwaya ziimbe nyimbo zinazojulikana au watoe vitabu vya nyimbo kama kwenye english services, ili waumini washiriki. Matangazo yawe machache mengine kwenye ubao wa matangazo, mahubiri mafupi max 10min, ratiba zifuatwe. Hii siyo rocket science.Nop, kuna kitu inaitwa Mtaguso, taratibu huwa zinabadirika baadhi, usiooohudhuria misa kwa muda mrefu utakereka tu na mabadliko hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tetesi: Huenda 2023 yakatokea tena mabadiliko.Nop, kuna kitu inaitwa Mtaguso, taratibu huwa zinabadirika baadhi, usiooohudhuria misa kwa muda mrefu utakereka tu na mabadliko hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu kanisa Katoliki ni taasisi, haiendeshwi kwa takwa la mtu mmoja lolMtaguso, sinodi na blah blah nyingine hazihitajiki kusuluhisha matatizo tajwa kwenye uzi. Kwaya ziimbe nyimbo zinazojulikana au watoe vitabu vya nyimbo kama kwenye english services, ili waumini washiriki. Matangazo yawe machache mengine kwenye ubao wa matangazo, mahubiri mafupi max 10min, ratiba zifuatwe. Hii siyo rocket science.
Hapa kuna issue ya exposure[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu kanisa Katoliki ni taasisi, haiendeshwi kwa takwa la mtu mmoja lol
Sent using Jamii Forums mobile app
I think hii ni kutokana na kasi ya mabadiliko ya dunia, well kama ikitokeaTetesi: Huenda 2023 yakatokea tena mabadiliko.
Niibuke kwani nilikuwa nimezana.Dini ni imeshakuwa kero fulaniKesho jumatano ya majivu, ibuka upate upako
Mkuu labd pitia kufaham nin maana ya mtaguso, hutakaa dillema kw kile unachofikiria si sahihi kwa Uendeshaji wa mafundisho ktk RC.Hapa kuna issue ya exposure
Mimi nachukia kunyimwa ekaristi takatifu kisa dhambi zangu lakini hapo hapo sadaka zangu wanazipokea au hata kunidai nisipotoa.
Haujiamini tu, kuna mzee aliwahi kumkosoa Paroko mmoja juu ya michangoBora wewe, mimi kinachoniuzi ni kutopata nafasi/kutoruhusiwa kumuuliza maswali/ kumkosoa padri juu ya anacho hubiri.