Mambo yanayopeleka wengi gerezani.!

Pole sana mwamba,dunia mitihani ndio kama iyo
 
Nakumbuka kuna jamaa mmoja wa serikalini na pia ni mtumishi wa kiroho ni mlokole sasa katika huduma yao ya kanisani huwa wanakawaida ya kutembelea mahabusu na wafungwa waliopo gerezani,katika hadithi yake alituambia ukija sikia rafiki ama nduguyo yupo mahabusu jitahidi umtoe kwa dhamana uku ukishughulikia asihukumiwe,akatuambia hata nyie hapa ikitokea siku unakamatwa hata saa nane usiku nipigie simu kule sio kuzuri aliniambia,baadhi ya mateso ya mule alinihadithia nikabaki naduwaha tu.....
 
Pole Sana mkuu,aisee
 
Gerezani wanahesabu usiku na mchana kama siku 2. So miaka miwili ni kama mwaka hivi
Sio kweli bana kila mfungwa anayefungwa kwa miaka inayohesabika anafungwa 2/3 ya miaka yake,kwa mfano ukiwa umehukumiwa miaka 10 utatumikia jela 2/3 x10 ambayo ni sawa na miaka 6 na miezi 6
 
Pole sana chief, katika magereza magumu niliyowahi kuyasikia hapa bongo Maweni ni balaa, sipati picha uliyopitia.
 
Gerezani hawahesabu usiku na mchana, mfungwa anapofungwa anatumikia 1/3 ya kifungo chake, sio Tanzania tu, Duniani kote iko hivyo, Kama umehukumiwa miaka 30, utatumikia miaka 20 tu
'Miaka ishirini tu'
 
Pole sana mkuu. Mungu akufanyie wepes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…