mweusi asili
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 2,035
- 3,358
hapa umelenga yaani mwanamke wa kibongo chake chake chako chetu. Utakuta yeye ana kipato hata kama ni kidogo lakini hawezi sema siku moja moja amnunulie mumewe vocha au soksi wanashindwa wao kupiga hesabu kipato cha mumewe tu4.UCHOYO NA UBINAFSI; Kuna Wanawake ambao ni wachoyo na wabinafsi, yaani hataki wageni wa aina yeyote ile,hataki ndugu wa upande wa Mwanaume wafike nyumbani, labda ndugu zake tu ndio anaotaka wafike,hii si sawa, Acheni hizo.Wapo Wanawake wengine ambao hudiriki hata kuficha pesa inayopatikana ktk biashara na mume wake na kisha kuituma kwao kisiri Siri
Yaani shida sana, sijui Wanawake wanatuchukuliaje sisi Wanaume.hapa umelenga yaani mwanamke wa kibongo chake chake chako chetu. Utakuta yeye ana kipato hata kama ni kidogo lakini hawezi sema siku moja moja amnunulie mumewe vocha au soksi wanashindwa wao kupiga hesabu kipato cha mumewe tu
Especially mawifi. Sijawahi kuona anaye wasema mawifi vizuri. Ila ukipigiwa simu na dada yako ukamuambia msalimie wifi yako utamuona kujichekesha kinafiki na kusema MY WIII, ZA HUKO?Kuchukia ndugu na wazazi wa mume
Sawa Mkuu.Kama mwanamke uliyeoa ana tabia hizo na hukuziona hapo kabla, shida ni wewe bro. Hukutuliza kichwa.
Aiseee Acha tu, yaani mawifi zao wanakuwa km paka na panya.Especially mawifi. Sijawahi kuona anaye wasema mawifi vizuri. Ila ukipigiwa simu na dada yako ukamuambia msalimie wifi yako utamuona kujichekesha kinafiki na kusema MY WIII, ZA HUKO?
Nadhani wanafundishwa hili kwenye kitchen party.
Hongera Sana Mkuu,mshike sana huyo, maana ni Wanaume wachache wenye bahati hiyo.Namshukuru mungu mke wangu hana hata moja hapo juu.
Namba tatu wanawawe wengi hawatoki hapo.
Kama vile yeye ndiye kakupangisha nyumba kumbe ndiwe unalipa kodinyumbani panakuwa hapakaliki,kitu kidogo tu kelele na ugomvi juu.
Asante sana mkuu ila talkative ni sifa ya mwanamke wmbayo naturally anayo.Hongera Sana Mkuu,mshike sana huyo, maana ni Wanaume wachache wenye bahati hiyo.
Hayo mambo ya stori sio shida.Mimi hapo nazungumzia vimaneno vyenye ugomvi ndani yake, Matharani nilikupigia simu Kwanini hukupokea?, ulikuwa unaongea na Malaya wako,mara oh! Wewe hunipendi, sijui una dharau,nk.Hapo ataongea usiku kucha hadi kero hayo ndio maneno ninayozungumzia.Au umechelewa kidogo kurudi basi atapiga kelele Mwanzo Mwisho,na ukisema hujisikii kula ndo kabisa.Asikuone umesimama na mwanamke mnaongea,hata km mnasalimia tu inakuwa ni kero.Asante sana mkuu ila talkative ni sifa ya mwanamke wmbayo naturally anayo.
Lazima aongee tuu,lazima lazima lazima.
Nikirudi home napewa stori kibao hapo mimi nikuskiliza tuu na kutia vineno kama vile enhee,duuh,hatari,heeh,kazinguaaa....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa bhana!!!.acheni kuoa..
Si Ndio hapo,kuna mambo yanaboa sana.Kama vile yeye ndiye kakupangisha nyumba kumbe ndiwe unalipa kodi
Mkuu hayo karibia kwa wanawake wote wanazo hhizo.Hayo mambo ya stori sio shida.Mimi hapo nazungumzia vimaneno vyenye ugomvi ndani yake, Matharani nilikupigia simu Kwanini hukupokea?, ulikuwa unaongea na Malaya wako,mara oh! Wewe hunipendi, sijui una dharau,nk.Hapo ataongea usiku kucha hadi kero hayo ndio maneno ninayozungumzia.Au umechelewa kidogo kurudi basi atapiga kelele Mwanzo Mwisho,na ukisema hujisikii kula ndo kabisa.Asikuone umesimama na mwanamke mnaongea,hata km mnasalimia tu inakuwa ni kero.
Awe anaosha kabla hujapiga bj
Kha jamani lakini sii ndio mnazibugiaga mdomoni🤣🤣🤣🤣Nasisi tunavumilia jamani msituonee tu....mnanuka mbupu hatareee
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Maneno yaliyobeba hisia za ugomvi yanakera sana, Wewe Mshukuru MUNGU kwa kukupa mke asiyemkorofi, yaani unakuta mwanamke anamfokea mume wake utadhani anaongea na kinyangalikwa fulani,au km vile Askari Magereza anamfokea mfungwa, halafu wewe Unasema kawaida?!!.Kuna Wanaume wanadhoofika kiafya kwasababu ya kero ya maneno kutoka kwa wake zao.Mkuu hayo karibia kwa wanawake wote wanazo hhizo.
Mbona hupokei simu ndio complain zao wakati huo sisi wanaume tukipiga simu kama hazipokelewi wala hatumind..
Sijui hunipendi ndo complain zao wakati huo hakuna siku wanaume tulilalamika kwamba wao hawatupendi.
Kusolve hilo jaribu kumuambia nakupenda kila unapoongea nae kwa siku utakuta hizo complain za kuwa hunipendi zinaondoka.
Ila kiukweli wanaume kurejearejea neno nakupenda sio asili yetu,ni neno ambalo halina thamani katika ulimi wa mwwnaume,lwkini linw thamani katika sikio la mwanamke.
Sijui umechelewa kurudi hiso ndio complwin zao kubwaaa wanawake wengi wanataka urudi ukae ndani tu wakati ukikaa nao kuna vitu watakukera tu.
Kuna kiipindi wakati nipo unguja kuna jamaa alikuwa anasema " aaah kama sinw kazi sikai nyumbani maana kitu kidogo utagombana na mkeo"
Na kweli ukikaa nyumbani ukiwa free mara atakutuma,wewe utakataa na yeye atanuna[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1].
Ndoa ni ngumu kwa sababu ya vitu vidogovidogo ambavyo ni ngumu kuacha kwa vitu hivyo.
Hawachezwi kwenye unyago??.Ila Mademu wa Singida, Manyara, Babati ni Wazuri wa Sura Tu Ila Ni Vimeo Sana Kitandani.
.
Wavivu Kupitiliza, Akilala Kalala Tu [emoji21][emoji21][emoji21]