Mambo yanayosababisha wanaume tuliooa tuwachoke haraka wake zetu

Mambo yanayosababisha wanaume tuliooa tuwachoke haraka wake zetu

Hbr za mchana wana jukwaa wenzangu??.Ni matumaini yangu kuwa mnaendelea vizuri.Km kichwa kinavyojieleza naomba nitiririke km ifuatavyo;

1.UCHAFU:hapa nazungumzia uchafu wa kuanzia yeye mwenyewe, nyumba na mazingira kwa ujumla.Yaani Wanawake sijui mpoje??!!!, wakati nakutongoza ili nikuoe ulijiweka ktk usafi Kiufupi ulijipenda sana,lkn baada ya kuolewa unajisahau sana,kwapa linanuka,mdomo unatoa harufu,muda wote umevaa dera, Ndani mpo shabarabaghara.Mtoto akijisaidia unachelewa kumsafisha,nguo za mtoto zenye mavi unaziloweka tu kwenye beseni au ndoo ya maji kwa muda mrefu hadi kinyaa.Jamani hata km Mwanaume ni rijali vipi hamu ya tendo lazima iishe mapema sana.Badilikeni Wanawake mjipende km mlivyokuwa bado hamjaolewa nawaambia tatizo la upungufu wa nguvu za kiume halitakuwepo.


2.UVIVU; Unakuta mwanamke ni mvivu kweli kweli,ni mvivu kupika,kufua nguo, kufanya shughuli za shamba, dukani,na mwisho hadi kitandani unakuta ni mvivu pia,hii inatufanya Wanaume tukwazike sana.Mwanamke bora inapaswa awe mchapakazi,awe active,asiwe legelege.

3.MANENO MENGI/MAKELELE;Kuna Wanawake ambao muda wote ni kelele tu, utadhani wapiga debe wa Stendi,kifupi nyumbani panakuwa hapakaliki,kitu kidogo tu kelele na ugomvi juu.Jamani Ukisikia au kuona jambo linalokutatiza tuliza kwanza Akili na moyo wako, Tafakari, fanya uchunguzi kisha umuulize mumeo kwa staha sio kwa makelele na fujo hii haijengi Zaidi ya kubomoa.

4.UCHOYO NA UBINAFSI; Kuna Wanawake ambao ni wachoyo na wabinafsi, yaani hataki wageni wa aina yeyote ile,hataki ndugu wa upande wa Mwanaume wafike nyumbani, labda ndugu zake tu ndio anaotaka wafike,hii si sawa, Acheni hizo.Wapo Wanawake wengine ambao hudiriki hata kuficha pesa inayopatikana ktk biashara na mume wake na kisha kuituma kwao kisiri Siri.

5.MAKUNDI YASIYOFAA;Haya huashiria tabia zisizofaa za mwanamke hata km sijamkamata,hivi km mkeo mashoga zake ni Wahudumu wa bar unategemea Nini??,Mkeo mashoga zake ni wale wadada wanaojiuza unadhani inaashiria nini??, Mtaani kwenu unasikia mwanamke fulani anajihusisha na usagaji halafu mkeo ndiye rafiki yake, Aisee Ukiona hivyo ujue tayari.Urafiki na vijana wadogo wa kiume au wababa ni ishara mbaya na itafanya nikuchoke mapema.

6.KUTOPENDA KUMCHA MUNGU;Kuna Wanawake ambao wapo mbali sana na suala la ibada na hata Mambo yahusuyo MUNGU,aise Ukiona hivyo ni hatari sana,ni bora mwanamke akawa mcha MUNGU kuliko Mwanaume, maana mwanamke mcha MUNGU hata km atakuwa na kasoro ni rahisi kujirekebisha kuliko yule asiyemcha MUNGU, maana mwanamke ni mlezi wa familia,mwombezi wa familia,n.k.sasa asipokuwa mcha MUNGU hapo ni hatari kubwa.


7.ULEVI; Mwanamke mlevi ni kero kubwa,sisemi kunywa ni vibaya Isipokuwa anywe kwa nidhamu,ili asilewe maana akilewa uwezekano wa kutotimiza wajibu wake ipasavyo ni mkubwa Sana.


Haya ni baadhi tu ambayo nimeyabaini,karibuni muongezeee mengine.
Hii kama ni ngumi basi utakuwa umepiga kwenye pua....
 
Hakuna Dini inayokataza mitara haupo!hata Biblia haijakataza mitara hata WAKATI yesu mitara ilikuwepo na Hata nyakati za Paulo Mtume mitara ilikuwepo Ndio màana alisisitiza kuwa mtu akitaka kuwa Askofu au shemasi awe mume wa mke mmoja coz walikwepo wenye mke zaidi ya MMOJA!!achana na siasa za kimadhehebu hasa ukatoliki na protestant!!!we oa tu!!!hata Taifa la Israel limetokana na wake wanne wa yakobo na hakuna andiko linaloweka utaratibu wa kuoa UWE mke MMOJA!!!Adam na Hawa hawakufunga ndoa wala kuoana zaidi ya kuzaliana tu Ndio màana hata watoto wao walizaliana WAO kwa WAO! usije danganywa eti Mungu alifungisha NDOA !!!walikuwa wanazaliana waanzilishi wa kizazi chetu!na Mungu aliumba KILA kiumbe WAWILI WAWILI Ili kukuza kizazi cha viumbe!!!
Dini hairuhu
 
Nasisi tunavumilia jamani msituonee tu....mnanuka mbupu hatareee

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Wajameni sasa kitu pumbu kiko juu kwaju!! kinaenda huku na kule hewani muda wooote kile kitanukaje? km ikinuka ina maana imeoza!! na hapo hana maisha huyo atakufa tu faster!.....

labda kidoogo useme fungus hasa maeneo ya joto!! lkn akiwa ivo atajikuna mpaka akome! ! pia hizo hazinukagi!! kwa sababu anapokuna fungus anajichubua sasa nionee vidonda vyake hata hawezi kutembea kazini haendi

Tembea uone mwenzangu! huyo wako mwenzangu anatisha Khaaa!!...ebu tupe uzoefu kwanza tukusaidie shoga ilikuwaje hizo ndude??
 
Hakuna Dini inayokataza mitara haupo!hata Biblia haijakataza mitara hata WAKATI yesu kaha mitara ilikuwepo na Hata nyakati za Paulo Mtume mitara ilikuwepo Ndio màana alisisitiza kuwa mtu akitaka kuwa Askofu au shemasi awe mume wa mke mmoja coz walikwepo wenye mke zaidi ya MMOJA!!achana na siasa za kimadhehebu hasa ukatoliki na protestant!!!we oa tu!!!hata Taifa la Israel limetokana na wake wanne wa yakobo na hakuna andiko linaloweka utaratibu wa kuona UWE mke MMOJA!!!Adam na Hawa hawakufunga ndoa wala kuona zaidi ya kuzaliwa tu Ndio màana hata watoto wako walizaliana WAO kea WAO! usije danganywa eti Mungu alifungisha NDOA !!!walikuwa wazanaki na waanzilishi wa kizazi chetu!na Mungu aliumba KILA kiumbe WAWILI WAWILI Ili kukuza kizazi cha viumbe!!!
Rais gani hujui kuandika!! tamka mie ndo Rais
 
Mke wangu anajitahidi sana, siwezi kumsema vibaya.Lkn ninachokiona kwa wake wa ndugu zangu na rafiki zangu baadhi Inasikitisha sana,ndio maana nikaamua kuweka hapa.
Usijidanganye na mkeo wanamuona ivoivo ila kwa kuwa umeshalishwa visivyo liwa hujui!
 
Sasa Demu mnene kama yule Welu Sengo(sorry kama nimemis jina lake) wa Nini Yule, Manzi Mnene kama Ng'ombe aina ya Bull
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yule wa kwenye Pazia sio? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwakweli ile ni aina ya Bully.
 
Back
Top Bottom