Mambo yanayosababisha wanaume tuliooa tuwachoke haraka wake zetu

Mambo yanayosababisha wanaume tuliooa tuwachoke haraka wake zetu

Hbr za mchana wana jukwaa wenzangu??.Ni matumaini yangu kuwa mnaendelea vizuri.Km kichwa kinavyojieleza naomba nitiririke km ifuatavyo;

1.UCHAFU:hapa nazungumzia uchafu wa kuanzia yeye mwenyewe, nyumba na mazingira kwa ujumla.Yaani Wanawake sijui mpoje??!!!, wakati nakutongoza ili nikuoe ulijiweka ktk usafi Kiufupi ulijipenda sana,lkn baada ya kuolewa unajisahau sana,kwapa linanuka,mdomo unatoa harufu,muda wote umevaa dera, Ndani mpo shabarabaghara.Mtoto akijisaidia unachelewa kumsafisha,nguo za mtoto zenye mavi unaziloweka tu kwenye beseni au ndoo ya maji kwa muda mrefu hadi kinyaa.Jamani hata km Mwanaume ni rijali vipi hamu ya tendo lazima iishe mapema sana.Badilikeni Wanawake mjipende km mlivyokuwa bado hamjaolewa nawaambia tatizo la upungufu wa nguvu za kiume halitakuwepo.


2.UVIVU; Unakuta mwanamke ni mvivu kweli kweli,ni mvivu kupika,kufua nguo, kufanya shughuli za shamba, dukani,na mwisho hadi kitandani unakuta ni mvivu pia,hii inatufanya Wanaume tukwazike sana.Mwanamke bora inapaswa awe mchapakazi,awe active,asiwe legelege.

3.MANENO MENGI/MAKELELE;Kuna Wanawake ambao muda wote ni kelele tu, utadhani wapiga debe wa Stendi,kifupi nyumbani panakuwa hapakaliki,kitu kidogo tu kelele na ugomvi juu.Jamani Ukisikia au kuona jambo linalokutatiza tuliza kwanza Akili na moyo wako, Tafakari, fanya uchunguzi kisha umuulize mumeo kwa staha sio kwa makelele na fujo hii haijengi Zaidi ya kubomoa.

4.UCHOYO NA UBINAFSI; Kuna Wanawake ambao ni wachoyo na wabinafsi, yaani hataki wageni wa aina yeyote ile,hataki ndugu wa upande wa Mwanaume wafike nyumbani, labda ndugu zake tu ndio anaotaka wafike,hii si sawa, Acheni hizo.Wapo Wanawake wengine ambao hudiriki hata kuficha pesa inayopatikana ktk biashara na mume wake na kisha kuituma kwao kisiri Siri.

5.MAKUNDI YASIYOFAA;Haya huashiria tabia zisizofaa za mwanamke hata km sijamkamata,hivi km mkeo mashoga zake ni Wahudumu wa bar unategemea Nini??,Mkeo mashoga zake ni wale wadada wanaojiuza unadhani inaashiria nini??, Mtaani kwenu unasikia mwanamke fulani anajihusisha na usagaji halafu mkeo ndiye rafiki yake, Aisee Ukiona hivyo ujue tayari.Urafiki na vijana wadogo wa kiume au wababa ni ishara mbaya na itafanya nikuchoke mapema.

6.KUTOPENDA KUMCHA MUNGU;Kuna Wanawake ambao wapo mbali sana na suala la ibada na hata Mambo yahusuyo MUNGU,aise Ukiona hivyo ni hatari sana,ni bora mwanamke akawa mcha MUNGU kuliko Mwanaume, maana mwanamke mcha MUNGU hata km atakuwa na kasoro ni rahisi kujirekebisha kuliko yule asiyemcha MUNGU, maana mwanamke ni mlezi wa familia,mwombezi wa familia,n.k.sasa asipokuwa mcha MUNGU hapo ni hatari kubwa.


7.ULEVI; Mwanamke mlevi ni kero kubwa,sisemi kunywa ni vibaya Isipokuwa anywe kwa nidhamu,ili asilewe maana akilewa uwezekano wa kutotimiza wajibu wake ipasavyo ni mkubwa Sana.


Haya ni baadhi tu ambayo nimeyabaini,karibuni muongezeee mengine.
Ndg mm yamenikuta hasa niliposoma namba 5,6,7 Yan tumwombe Mungu kwa kweli.
 
Nasisi tunavumilia jamani msituonee tu....mnanuka mbupu hatareee

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....! Ile unataka kupiga bj unakutana na bonge la smell ya kibeberu....! Ila kweli.

Lakini upo utofauti mkunbwa wa smell ya mbupu na smell ya k kama haisafishwa vizuri.
Utofauti ni huu,wanawake wengi siku hizi wanatumia vitu sio asilia kuanzia mafuta,dawa za uzazi,na vyakula hivi vya kisasa kisasa. Lakini kubwa sana kuoshea sabuni zenye kemikali kali huko kwenye k. Hiyo inaondoa wale bacteria rafiki wanaotunza k. Kwa hiyo ile smell asili inapotea

Kwa wanaume wanaonuka mbupu ni wale wala vyepe,energy energy sana. Sisi wa zamani wala mihogo ya kuchemsha,smell yetu ni ile asilia. Ndio maana nikichomoka home siku 3 sijang'aa,unaanza kunusa shati langu na njupi
 
Back
Top Bottom