Mambo yanayosababisha wanaume tuliooa tuwachoke haraka wake zetu

Hapo namba tatu kwenye kuchukia ndugu wa mume sina hakika sana kama ni kweli huwa tunawachukia. Binafsi siwachukii ila huwa sina story nao. Anaweza kuja kwangu nikawa sina story nyingi nae kwasababu amanijua kupitia ndugu yake.(mume wangu).Hii inakua tofauti kidogo na ndugu zangu ambao tunaweza share story nyingi sana kwasababu tumetoka sehemu moja.

Mi nadhani kule kutowachangamkia sana kunawafanya muone hatuwapendi. Ndugu yangu ntakua na mengi sana ya kumwambia tunajuana toka utotoni kuliko wifi tulojuana nikiwa na meno thelathini na mbili. Ni mtazamo wangu huo.
 
[emoji28] unajihamii.Imekutouch hiyo!! Kwa hiyo na mume wako yeye mmejuana mkiwa na meno 16[emoji1787][emoji1787].

Sema nini, [emoji28] Kuna ka chuki flani ka waziwazi una ka show. Ko hutaki story nyingii na wao.
 
Sababu nyiiingi utadhani mko perfect
Na utadhani kuna kitu mnasaidia nyumbani
Bora ht watoa hela ..muishi maisha marefu wengine ni [emoji706][emoji706]
Kama WA kwako hatoi Hela siyo wote.Kama WA kwako hasaidii kitu siyo wotee.

Ulimchagua WA kufanana na wewe[emoji28] Pambana nae.
 
Kama mnakaa pamoja na mwenzako lazima mchokane ni jambo la kawaida kikubwa mbadilishe mazingira mara mojamoja lakini pia yote uliyoongea yanakatisha stimu kwenye mahusiano
 
hiyo ya 1 ya kunuka mdomo na makwapa huyu mwanamke namuacha siku hiyohiyo. yaani mwanamke mungu kamuuba ni ua zuri linalopendeza sasa ua gani linatoa haru mbaya
 
Hapo namba tatu kwenye kuchukia ndugu wa mume sina hakika sana kama ni kweli huwa tunawachukia. Binafsi siwachukii ila huwa sina story nao. Anaweza kuja kwangu nikawa sina story nyingi nae kwasababu amanijua kupitia ndugu yake.(mume wangu).Hii inakua tofauti kidogo na ndugu zangu ambao tunaweza share story nyingi sana kwasababu tumetoka sehemu moja.

Mi nadhani kule kutowachangamkia sana kunawafanya muone hatuwapendi. Ndugu yangu ntakua na mengi sana ya kumwambia tunajuana toka utotoni kuliko wifi tulojuana nikiwa na meno thelathini na mbili. Ni mtazamo wangu huo.

wewe mmoja wapo unaewachukia ndugu wa mume. dalili zote zimeonyesha kwenye maandiko yako kama weww ni mke wangu nakuacha hapohapo
 
Wee sio wote...mi nna kinyaa hataree

Sijawahi kufanya huo utopolo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app

Hakunaga mwanamke asie kula koni huo ni uongo, wanawake wote akishalishika rungu tu kinachofata ni kulipeleka mdomoni bila hata ya kuambiwa
 
Heee unalazimisha sasa?

Wewe umepitia wanawake wote duniani ukajua wanalamba Koni?[emoji849]

Mimi sifanyagi huo umavi sasa, kama huamini acha

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Heee unalazimisha sasa?

Wewe umepitia wanawake wote duniani ukajua wanalamba Koni?[emoji849]

Mimi sifanyagi huo umavi sasa, kama huamini acha

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app

Haipo hiyo.. kabla ya shoo au hata kwenye gari Lazima mlambe, mnakuwaga na kiu flan hivi

Hasa mkikitana na bonge la ndonga, wewe kama hupatag mizuka ya kunyonya bas unashikaga vibamia ndomana
 
Kila shetani na mbuyu wake, ikumbukwe pia mapenzi ni upofu!

Walio nje huona yasiyofaa, waliondani ya ndoa, huridhika na mengi!
 
Back
Top Bottom