Mambo yanayosababisha wanaume tuliooa tuwachoke haraka wake zetu

Mambo yanayosababisha wanaume tuliooa tuwachoke haraka wake zetu

Asilimia kubwa ya wanaume Wana admire wanawake wenye matackle makubwa. Wote Hawa hawawezi kua wrong. Kuna kitu wamekiona kwa wenye tackle.
Ishu hapo ni wanene Vs Wembamba,Matako makubwa anaweza kuwanayo mwembamba au mnene.
 
UCHOYO NA UBINAFSI: Kuna Wanawake ambao ni wachoyo na wabinafsi, yaani hataki wageni wa aina yeyote ile,hataki ndugu wa upande wa Mwanaume wafike nyumbani, labda ndugu zake tu ndio anaotaka wafike,hii si sawa, Acheni hizo.Wapo Wanawake wengine ambao hudiriki hata kuficha pesa inayopatikana ktk biashara na mume wake na kisha kuituma kwao kisiri Siri.
Mke mwanamke niliemuacha alikuwa na hizo tabia yaani uchoyo na ubinafsi ni balaa kila nikinunua nyama basi itaishia jikoni.
 
Kama unanunua nusu ulitegemea nini?
Nunua nyama kilo kumi tumbukiza my freezer uone Kama zitaishia jikoni.
Aliyezoea uchoyo hawezi kubadilika hata km atanunua nyingi,ukiondoka home akiiuza ili ajipatie pesa kwa matumizi yake utajuaje??,Lkn pia uwezo tunatofautiana.
 
Wanawake sijui tunanini ila.kuongea ni constant hatuwez nyamazia vitu
 
Ila Mademu wa Singida, Manyara, Babati ni Wazuri wa Sura Tu Ila Ni Vimeo Sana Kitandani.
.
Wavivu Kupitiliza, Akilala Kalala Tu [emoji21][emoji21][emoji21]


Pia inasemekana huwa ni vya wote eti hawajuagi kukataa !
 
Hivi Dom ipi hiyo nimekaa hapa mwezi wa Saba sasa sijaona hao wanawake wazuri.


Nenda kwenye mabaa wapo wengi imported wanauza baa na vyakula.
Wamekuwa imported maana wenyeji wa huko wengine ni wavivu na hawaishagi excuses kwenye kazi wao wana afadhali ila kwenye hayo mambo mengine ndio kama kawaida vya wote!
 
Mke mwanamke niliemuacha alikuwa na hizo tabia yaani uchoyo na ubinafsi ni balaa kila nikinunua nyama basi itaishia jikoni.



Ungeweka mazoea ya kuwa unanunua nyingi mara kwa mara ale mpaka imkifu na kuikinahi kabisa kisha angekuwa anakula kawaida tu hamu kidogo!
 
Back
Top Bottom