Mambo yanayosababisha wanaume tuliooa tuwachoke haraka wake zetu

Mambo yanayosababisha wanaume tuliooa tuwachoke haraka wake zetu

Maneno yaliyobeba hisia za ugomvi yanakera sana, Wewe Mshukuru MUNGU kwa kukupa mke asiyemkorofi, yaani unakuta mwanamke anamfokea mume wake utadhani anaongea na kinyangalikwa fulani,au km vile Askari Magereza anamfokea mfungwa, halafu wewe Unasema kawaida?!!.Kuna Wanaume wanadhoofika kiafya kwasababu ya kero ya maneno kutoka kwa wake zao.
Sawa Mkuu Mungu atusaidie
 
Hata najua, nimewakula Sana hawana mambo.
.
Ila kabla haujamla anavyo-twerk na makogo Sasa.
.
Kumbe hakuna Kitu Chochote
.
Wanatutesa na Rangi Yao Asa Sisi Wapenda Rangi ya Mtume
[emoji23][emoji23][emoji23], Kumbe ni uzuri wa nje tu.Kweli uzuri wa mkakasi ndani kipande Cha mtu.
 
Sasa Demu mnene kama yule Welu Sengo(sorry kama nimemis jina lake) wa Nini Yule, Manzi Mnene kama Ng'ombe aina ya Bull
Kwa hiyo kosa lake ni kuwa mnene??, Kwani wakati unamtafuta hukuona kwamba ni mnene?.Hapo unafeli Mkuu.
 
hivi baadhi ya shughuli mkizifanya mnakatikaga mikono

si umsaidie au mnafikiri kuoa mnaoaga housgirl
 
Back
Top Bottom