mweusi asili
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 2,035
- 3,358
hapa umelenga yaani mwanamke wa kibongo chake chake chako chetu. Utakuta yeye ana kipato hata kama ni kidogo lakini hawezi sema siku moja moja amnunulie mumewe vocha au soksi wanashindwa wao kupiga hesabu kipato cha mumewe tu4.UCHOYO NA UBINAFSI; Kuna Wanawake ambao ni wachoyo na wabinafsi, yaani hataki wageni wa aina yeyote ile,hataki ndugu wa upande wa Mwanaume wafike nyumbani, labda ndugu zake tu ndio anaotaka wafike,hii si sawa, Acheni hizo.Wapo Wanawake wengine ambao hudiriki hata kuficha pesa inayopatikana ktk biashara na mume wake na kisha kuituma kwao kisiri Siri