MAMBO YANAZIDI KUCHANGAMKA: Wananchi wa Ngorongoro watoa ONYO kali kwa serikali

MAMBO YANAZIDI KUCHANGAMKA: Wananchi wa Ngorongoro watoa ONYO kali kwa serikali

Ukiangalia Kwa jicho la tatu, hiyo kitu uliyodokeza, inawezekana sana..........,.

Ukizingatia maneno ambayo yaliwahi tamkwa almost 2 years back na JK, kuwa mgombea wetu Kwa 2025, unless mambo yaharibike sana!

Najiuliza ni kwanini JK aliyatamka hayo, hasa ukizingatia na hali inayoendelea sasa??
Iko vile. !
Asipokuwa tough wanamdondosha !
 
Hivi nyie wamasai wakienda z'bar wananyang'anywa rungu zao na fimbo zao wakija Huku bara mnawanyang'any ardhi Yao vijiji na vitongoji vinafutwa ili wasipigi kura
Tena kwa unafiki mkubwa mnachezesha Ngoma zao mbele ya watalii mnadhani wao sio binadamu
 
Changamoto kubwa ni watumishi wa Uma kuchukua maamuzi bila kushirikisha ipasavyo wananchi.
Maana halisi ya kupigania Uhuru ni tofauti na serikali inavyofanya nyakati hizi.
Ni lazima ijulikane kwamba Dola ni wananchi na vyombo vyake mali yao, serikali imepewa dhamana ya kuvisimamia kwa muda tu.
Serikali hupita lakini dola hudumu.
Ukisikia rasilimali za nchi zinatangazwa kuingia kwenye urithi wa Dunia, basi ujue nchi imeishaingia kwenye 18 za Globalists. Serikali zetu hizi zilizolaza akili na kutegemea kuomba ufadhili ndio wanaogeuka kuwa mawakala wa shetani kwa kuwakandamiza wenyeji asilia kisa? wanasaidiwa kuachana na maisha ya ujima. 🤔
 
Tudai Tanganyika irudi, huu upuuzi haukubaliki. Kuna siku Singida itauzwa yote
Tunatakiwa kuanza sasa, Katiba Mpya, Referendum kuamua hatma ya muungano na kuirudisha Tanganyika na mwisho uchaguzi mkuu wa 2025 uahirishwe hadi 2030 tukamilishe mambo yote likiwemo hili la Ngorongoro!!. Kizimkazi aendelee tu kuwepo kimtindo. 😎
 
Nasimama nao, ila mbona kama kuna kampeni ya kumuangusha Mwenyekiti wenu 2025? Nadhani haya yote yanayotokea yako well calculated and planned mbali Sana Sana
Nani wa kumuangusha kuchukua nafasi yake sasa?

Kwamba the green wao kwa wao ndio wanao plan hii migogoro ili kumu overtake au unamaanisha atashindwa katika box la kura baada ya wananchi kumkataa?

Kwasababu kwa hizi siasa zetu mi siamini kama kuna watu bado wanaamini kuwa kura zao zipo kwenye nafasi ya kimaamuzi ya kuweza kuchagua kiongozi yeyote wamtakaye.
 
Tunatakiwa kuanza sasa, Katiba Mpya, Referendum kuamua hatma ya muungano na kuirudisha Tanganyika na mwisho uchaguzi mkuu wa 2025 uahirishwe hadi 2030 tukamilishe mambo yote likiwemo hili la Ngorongoro!!. Kizimkazi aendelee tu kuwepo kimtindo. 😎
Kwani hata Tanganyika ikirudi watawala wake watakuwa ni akina nani zaidi ya hao hao waliokuwepo zamani ??!
Walikuwepo TANU na baadaye wakaitwa CCM 😳😀🙌

Au nasema uongo ndugu zanguni ??!
 
Kwani hata Tanganyika ikirudi watawala wake watakuwa ni akina nani zaidi ya hao hao waliokuwepo zamani ??!
Walikuwepo TANU na baadaye wakaitwa CCM 😳😀🙌

Au nasema uongo ndugu zanguni ??!
Kimsingi tunatakiwa kuanza upya kwenye karatasi mpya yenye malengo mapya na watu wa kizazi kipya.... Hatuna sababu ya kuendelea kuwa na watawala wa zamani wenye mwelekeo wa kizamani wakati tuna lundo la vijana wasomi wasio na ajira. 😲
 
Kweli kabisa !
 
Back
Top Bottom