Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Changamoto kubwa ni watumishi wa Uma kuchukua maamuzi bila kushirikisha ipasavyo wananchi.Wananchi wa Ngorongoro ambao tuliambiwa wamekubali kuama kwa hiari leo hii wametoa onyo kali kwa serikali. Hii ni baada ya serikali kutuma kikosi cha FFU na polisi kwenda kuzima maandamano yao ya kudai haki yao ya ardhi.
Pia ikimbukwe kuwa serikali baada ya kuona wakazi wa Ngorongoro hawataki kuama, imelazimika kufunga huduma nyingi za kijamii.
Nami nitoe tahadhari tu kwa serikali kuwa, kila jambo la maendeleo lazima lianze kwa kumuangalia mwananchi (well being). Huo ndiyo ubinadamu (utu au humanity). Kufunga huduma za kijamii ni hatua mbaya ambayo serikali yoyote ile inaweza kuchukua dhidi ya wananchi wake.
Jamii ya kimasai ni jamii ambayo bado ina social structure yenye nguvu sana na ujasili wa hali ya juu.
Hapa watu wakishupaza shingo, soon damu itamwagika kama mwaka jana tena.
Busara itumike.
Mwananchi kwanza, mengine baadaye.
Huu ni unyama mkubwa unaofanywa na wazanzibari chini ya CCM tuwakatae kwa nguvu zetu zote.Wananchi wa Ngorongoro ambao tuliambiwa wamekubali kuama kwa hiari leo hii wametoa onyo kali kwa serikali. Hii ni baada ya serikali kutuma kikosi cha FFU na polisi kwenda kuzima maandamano yao ya kudai haki yao ya ardhi.
Pia ikimbukwe kuwa serikali baada ya kuona wakazi wa Ngorongoro hawataki kuama, imelazimika kufunga huduma nyingi za kijamii.
Nami nitoe tahadhari tu kwa serikali kuwa, kila jambo la maendeleo lazima lianze kwa kumuangalia mwananchi (well being). Huo ndiyo ubinadamu (utu au humanity). Kufunga huduma za kijamii ni hatua mbaya ambayo serikali yoyote ile inaweza kuchukua dhidi ya wananchi wake.
Jamii ya kimasai ni jamii ambayo bado ina social structure yenye nguvu sana na ujasili wa hali ya juu.
Hapa watu wakishupaza shingo, soon damu itamwagika kama mwaka jana tena.
Busara itumike.
Mwananchi kwanza, mengine baadaye.
Basi tuache ashuhudie anguko lake mwenyeweIla atakuwa anajiangusha mwenyewe, hii movement nzima aliyeikomalia ni yeye mwenyewe. Nadhani pia ana maslahi makubwa sana na hiyo issue, pengine ilipofikia inabidi atumie busara badala ya mabavu
Ukikaidi amri halali ya serikali utapigwa tu.Hiki kiburi cha uzima kinakutoeni akili kabisa mnaona kama mttatwala milele.
IdiotUkikaidi amri halali ya serikali utapigwa tu.
Hapa hakuna habari ya uzanzibari na utanganyika, serikalini watanganyika ni wengi.Huu ni unyama mkubwa unaofanywa na wazanzibari chini ya CCM tuwakatae kwa nguvu zetu zote.
Tumeona kila mzanzibari akiwa rais mbuga zetu zinauzwa hovyo. Ilikuwa Loliondo sasa ni Ngorongoro pengine baadaye itakuwa Kilimanjaro. Ni wazanzibari wasio na uchungu na Tanganyika.Hapa hakuna habari ya uzanzibari na utanganyika, serikalini watanganyika ni wengi.
Ujinga usifichwe kwenye kichaka cha uzanzibari.
Hilo onyo kali ni lipo,au kusema tunatoa onyo kali tayari linakua onyo kali?Wananchi wa Ngorongoro ambao tuliambiwa wamekubali kuama kwa hiari leo hii wametoa onyo kali kwa serikali. Hii ni baada ya serikali kutuma kikosi cha FFU na polisi kwenda kuzima maandamano yao ya kudai haki yao ya ardhi.
Pia ikimbukwe kuwa serikali baada ya kuona wakazi wa Ngorongoro hawataki kuama, imelazimika kufunga huduma nyingi za kijamii.
Nami nitoe tahadhari tu kwa serikali kuwa, kila jambo la maendeleo lazima lianze kwa kumuangalia mwananchi (well being). Huo ndiyo ubinadamu (utu au humanity). Kufunga huduma za kijamii ni hatua mbaya ambayo serikali yoyote ile inaweza kuchukua dhidi ya wananchi wake.
Jamii ya kimasai ni jamii ambayo bado ina social structure yenye nguvu sana na ujasili wa hali ya juu.
Hapa watu wakishupaza shingo, soon damu itamwagika kama mwaka jana tena.
Busara itumike.
Mwananchi kwanza, mengine baadaye.
Serikali ya CCM kwa sasa haina mpango na wananchi wake bali inaangalia zaidi maokoto.Wananchi wa Ngorongoro ambao tuliambiwa wamekubali kuama kwa hiari leo hii wametoa onyo kali kwa serikali. Hii ni baada ya serikali kutuma kikosi cha FFU na polisi kwenda kuzima maandamano yao ya kudai haki yao ya ardhi.
Pia ikimbukwe kuwa serikali baada ya kuona wakazi wa Ngorongoro hawataki kuama, imelazimika kufunga huduma nyingi za kijamii.
Nami nitoe tahadhari tu kwa serikali kuwa, kila jambo la maendeleo lazima lianze kwa kumuangalia mwananchi (well being). Huo ndiyo ubinadamu (utu au humanity). Kufunga huduma za kijamii ni hatua mbaya ambayo serikali yoyote ile inaweza kuchukua dhidi ya wananchi wake.
Jamii ya kimasai ni jamii ambayo bado ina social structure yenye nguvu sana na ujasili wa hali ya juu.
Hapa watu wakishupaza shingo, soon damu itamwagika kama mwaka jana tena.
Busara itumike.
Mwananchi kwanza, mengine baadaye.
Gen Z wanasema ameingia kwenye mfumo!Na ameshajaa kwenye frem
Niliwahi kusema wale vijana wa CCM hawapigi kampeni za 2030
Wapo viongozi wa vijiji, kata, tarafa, mkuu wa wilaya na team yake, vivyo hivyo mkoa, waziri na team yake, waziri mkuu na makamu wa Rais.Tumeona kila mzanzibari akiwa rais mbuga zetu zinauzwa hovyo. Ilikuwa Loliondo sasa ni Ngorongoro pengine baadaye itakuwa Kilimanjaro. Ni wazanzibari wasio na uchungu na Tanganyika.
Samia akisema Ngorongoro ipewe Mwarabu nani anayeipenda kazi yake anaweza kusema vinginevyo?Wapo viongozi wa vijiji, kata, tarafa, mkuu wa wilaya na team yake, vivyo hivyo mkoa, waziri na team yake, waziri mkuu na makamu wa Rais.
Wote hao ni wazanzibari? au wanaswagwa tu kama wanyama?
Lawama lazima zielekezwe kwa wote hao, vinginevyo kuna fikra mfu zisizoweza kufanya badiliko lolote chanya.
Yawezekana hata Rais hushangaa na kusikitika baada ya wajanja kupita humohumo kujinufaisha.
2025 huwenda akawekwa kando, naona shingo imeelekea kibra kwa ajili ya kuchinjwa....Nasimama nao, ila mbona kama kuna kampeni ya kumuangusha Mwenyekiti wenu 2025? Nadhani haya yote yanayotokea yako well calculated and planned mbali Sana Sana
Najaribu kuwaza jamaa wanavyojua kucheza na zile fimbo zao 😂😂😂 wakiamua kuliamsha dude hao askari lazma wasemee 😂Wananchi wa Ngorongoro ambao tuliambiwa wamekubali kuama kwa hiari leo hii wametoa onyo kali kwa serikali. Hii ni baada ya serikali kutuma kikosi cha FFU na polisi kwenda kuzima maandamano yao ya kudai haki yao ya ardhi.
Pia ikimbukwe kuwa serikali baada ya kuona wakazi wa Ngorongoro hawataki kuama, imelazimika kufunga huduma nyingi za kijamii.
Nami nitoe tahadhari tu kwa serikali kuwa, kila jambo la maendeleo lazima lianze kwa kumuangalia mwananchi (well being). Huo ndiyo ubinadamu (utu au humanity). Kufunga huduma za kijamii ni hatua mbaya ambayo serikali yoyote ile inaweza kuchukua dhidi ya wananchi wake.
Jamii ya kimasai ni jamii ambayo bado ina social structure yenye nguvu sana na ujasili wa hali ya juu.
Hapa watu wakishupaza shingo, soon damu itamwagika kama mwaka jana tena.
Busara itumike.
Mwananchi kwanza, mengine baadaye.
Naomba wakimalizana na serikali waje kwa adui namba 2 kwa sasa ambao ni chawa 😂Waondoke tu. Mi nikitembelea Mwanza na Shinyanga jinsi miti ilivyokatwa na kuharibu mazingira, waondoke tu
Kuna mawili wewe una manufaa na haya yanayoendelea au huna akili timamuWaondoke tu. Mi nikitembelea Mwanza na Shinyanga jinsi miti ilivyokatwa na kuharibu mazingira, waondoke tu