Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Dah!Umenikumbusha mbali sana tulivyokua tunamkimbiza kindumbwendumbwe rafiki yangu mmoja alikua kikojozi sugu.Siku hizi ni bonge la giant,mbabe na ana mchele mfukoni kama wote.Endelea kuota ndoto za mchana angalia usije ukakojoa kwenye kochi hapo sebuleni kwa shemeji.