kissa anyigulile
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 1,550
- 1,742
Yeeees! Misinformed and regression!Kuna uwezekano mkubwa sababu iliyopeleka atumbuliwe, ndio imesababisha ateuliwe tena na kupewa wizara mpya - INTEGRITY.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeeees! Misinformed and regression!Kuna uwezekano mkubwa sababu iliyopeleka atumbuliwe, ndio imesababisha ateuliwe tena na kupewa wizara mpya - INTEGRITY.
Wacha tuendelee na VPNPengine wapo watu hawaelewi maana ya teuzi za mawaziri na namna zinavyoweza kubadilisha mambo.
Ngoja niwaeleze...
Mawaziri ni influencers na watekelezaji wa sera. Sera ndizo zinazoendesha mambo mengi kama sio yote kwenye sekta mbalimbali. Hakuna linaloenda bila ya sera, hivyo sera zikiwa nzuri basi mambo yanakuwa mazuri, zikiwa mbaya ni majanga.
Kijana Innocent Bashungwa amepewa dhamana ya kuongoza wizara ya habari, utamaduni, sanaa na michezo. Sekta ya habari, sanaa na michezo imeajiri na inaendelea kuajiri vijana wengi wa kileo. Huyu kwa wenzangu na mie tunaokutana koridoz tunamjua ni kijana wa aina gani. Kwa ufupi tu ni msomi na mjanja.
Pia anajua anachotakiwa kufanya na yuko serious kwenye kupata matokeo. Hana mitazamo ya "kizee" na sio "mshamba" wala "limbukeni". Kwenye haya mabalaa ya kanuni za maudhui na unyanyasaji wa wanahabari atatufaa sana. Huko kwenye sanaa na michezo amuachie Ulega. Ndio mambo yake.
Kaka yetu Faustine Ndugulile kapewa wizara mpya na nyeti - TEHAMA. Wizara hii haikuwepo japo imehitajika kwa muda mrefu sasa. Alivyo msomi, principled na kijana wa vijana hasa huku mitandaoni, naweza hata kumuwekea dhamana kuwa atatubeba sana tu. Bahati nzuri sio mtu wa kupokea pokea maagizo kutoka juu.
Na mpaka Magufuli anawateua hawa "vichwa ngumu" maana yake kuna mambo anataka kuona yanaenda bila kujipendekeza kwake.
Kikubwa cha kuombea ni hawa vijana, watoto wa mjini, watengeneze couple ya kiutendaji. Sina shaka wakifanya hivyo mambo yataenda tu.
Masisiemu Sasa ndio yamejua kiasi ambacho magufuli hawaamini.Pengine wapo watu hawaelewi maana ya teuzi za mawaziri na namna zinavyoweza kubadilisha mambo.
Ngoja niwaeleze...
Mawaziri ni influencers na watekelezaji wa sera. Sera ndizo zinazoendesha mambo mengi kama sio yote kwenye sekta mbalimbali. Hakuna linaloenda bila ya sera, hivyo sera zikiwa nzuri basi mambo yanakuwa mazuri, zikiwa mbaya ni majanga.
Kijana Innocent Bashungwa amepewa dhamana ya kuongoza wizara ya habari, utamaduni, sanaa na michezo. Sekta ya habari, sanaa na michezo imeajiri na inaendelea kuajiri vijana wengi wa kileo. Huyu kwa wenzangu na mie tunaokutana koridoz tunamjua ni kijana wa aina gani. Kwa ufupi tu ni msomi na mjanja.
Pia anajua anachotakiwa kufanya na yuko serious kwenye kupata matokeo. Hana mitazamo ya "kizee" na sio "mshamba" wala "limbukeni". Kwenye haya mabalaa ya kanuni za maudhui na unyanyasaji wa wanahabari atatufaa sana. Huko kwenye sanaa na michezo amuachie Ulega. Ndio mambo yake.
Kaka yetu Faustine Ndugulile kapewa wizara mpya na nyeti - TEHAMA. Wizara hii haikuwepo japo imehitajika kwa muda mrefu sasa. Alivyo msomi, principled na kijana wa vijana hasa huku mitandaoni, naweza hata kumuwekea dhamana kuwa atatubeba sana tu. Bahati nzuri sio mtu wa kupokea pokea maagizo kutoka juu.
Na mpaka Magufuli anawateua hawa "vichwa ngumu" maana yake kuna mambo anataka kuona yanaenda bila kujipendekeza kwake.
Kikubwa cha kuombea ni hawa vijana, watoto wa mjini, watengeneze couple ya kiutendaji. Sina shaka wakifanya hivyo mambo yataenda tu.
Sawasawa boss wanguNi mtendaji zaidi. Hana amsha amsha but he is very strategic.
Unawaza na kutafakari mambo kwa level ya chini sana - individualism.Kama wao hawajajiletea maendeleo watakuletea maendeleo gani ? Wanakampuni za tehama,habari? Watanzania huwa nawashangaa sana.Unasubiri kufnyiwa maajabu na mtu ambaye kaufukuzia ubunge ili atoboe!!!!!
Masisiemu Sasa ndio yamejua kiasi ambacho magufuli hawaamini.
Yaani kawapa Watoto wake, Na mbuzi za chadema alizonunua mnadani na zile ng'ombe za jalalani udsm pale bila kusahau lakezonelization, watu wa Kanda ya ziwa.
Masisiemu yamepigwa na butwaa
This is a partisan way of looking at things.Masisiemu Sasa ndio yamejua kiasi ambacho magufuli hawaamini.
Yaani kawapa Watoto wake, Na mbuzi za chadema alizonunua mnadani na zile ng'ombe za jalalani udsm pale bila kusahau lakezonelization, watu wa Kanda ya ziwa.
Masisiemu yamepigwa na butwaa
Kima mweupe weweThis is a partisan way of looking at things.
Kama ni hivyo mbona kina Dr. Slaa, Lowassa, Bulaya na wengine wengi tu walitoka CCM wakaenda CHADEMA na kupewa nafasi nyeti za uongozi?
Think. Uache na matusi.
Kuitwa kima ni tusi ?Hili ndilo unaloliweza zaidi. Matusi.
Hizi kanuni zitakuwa reviewed na kuondolewa kwa educational content. Zitabaki kuwa applicable kwa news channel tu kwa sababu zinacompete na broadcasting media.-kuanzisha YouTube channel zaidi ya milioni1
-Kuanzisha blog vikwazo kibao
-hakuna jipya.