Mambo yataenda? Tasnia ya Habari na TEHAMA zimepata Mawaziri "Vijana wa Mjini"

Ngoja tuone...
Alishasema hakuna mwenye uhakika kwenye nafasi yake...

Cc: mahondaw
 
Wacha tuendelee na VPN
 
Masisiemu Sasa ndio yamejua kiasi ambacho magufuli hawaamini.

Yaani kawapa Watoto wake, Na mbuzi za chadema alizonunua mnadani na zile ng'ombe za jalalani udsm pale bila kusahau lakezonelization, watu wa Kanda ya ziwa.

Masisiemu yamepigwa na butwaa
 
Kama wao hawajajiletea maendeleo watakuletea maendeleo gani ? Wanakampuni za tehama,habari? Watanzania huwa nawashangaa sana.Unasubiri kufnyiwa maajabu na mtu ambaye kaufukuzia ubunge ili atoboe!!!!!
 
Unawaza na kutafakari mambo kwa level ya chini sana - individualism.
 
Masisiemu Sasa ndio yamejua kiasi ambacho magufuli hawaamini.

Yaani kawapa Watoto wake, Na mbuzi za chadema alizonunua mnadani na zile ng'ombe za jalalani udsm pale bila kusahau lakezonelization, watu wa Kanda ya ziwa.

Masisiemu yamepigwa na butwaa

Masisiemu Sasa ndio yamejua kiasi ambacho magufuli hawaamini.

Yaani kawapa Watoto wake, Na mbuzi za chadema alizonunua mnadani na zile ng'ombe za jalalani udsm pale bila kusahau lakezonelization, watu wa Kanda ya ziwa.

Masisiemu yamepigwa na butwaa
This is a partisan way of looking at things.

Kama ni hivyo mbona kina Dr. Slaa, Lowassa, Bulaya na wengine wengi tu walitoka CCM wakaenda CHADEMA na kupewa nafasi nyeti za uongozi?

Think. Uache na matusi.
 
Kima mweupe wewe
 
Hiyo wizara imebuniwa na dikteta kwa ajili ya kuja kuimaliza social media pamoja na tasnia ya habari hapa nchini
 
-kuanzisha YouTube channel zaidi ya milioni1
-Kuanzisha blog vikwazo kibao
-hakuna jipya.
 
Hizi kanuni zitakuwa reviewed na kuondolewa kwa educational content. Zitabaki kuwa applicable kwa news channel tu kwa sababu zinacompete na broadcasting media.
 
Sasa hivi watu wanatafuta followers kwa nguvu.kuna umuhimu wa kuangalia maudhui ya yanayiabdikwa
 
Mbona kama vijana wananiangusha tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…