Nikitazama mbele kuna mambo yatamshangaza Magu ktk uchaguzi huu kama ifuatavyo;
1. Tofauti na ilivyokuwa 2015 miamba miwili yaani Kikwete na Lowassa walikipasua chama na kuwa mapande mawili lakini mapande yenyewe yalianzia juu na baade kushuka chini taratibu, kipindi hiki cha 2020 ni kwamba ccm imepasuliwa na inaendelea kupasuliwa kila kona kuanzia juu hadi chini.
2. Zipo taarifa kwamba mkulu ana majina ya wabunge mkononi tayari ambayo ndiyo safu anayoitegemea ili kuisambaratisha katiba ya JMT akibahatika kupita