Uchaguzi 2020 Mambo yatakayoishangaza dunia Uchaguzi wa Oktoba 2020

Hizo Ni ndoto za alinacha, CCM sio kijichama Kama act. chadema.ccm sio ya kufa Leo au kesho,labda miaka 100 mbele.hakuna Sacco's ya kupimana ubavu na CCM,hakuna kiumbe anae weza kumshinda mgombea uraisi wa CCM, hajazaliwa bado.
Ninakubaliana nawe kwa mazingira ya uchaguzi wa sasa, na siyo ndani ya uchaguzi huru na wa haki.
 
Nikitazama mbele kuna mambo yatamshangaza Magu ktk uchaguzi huu kama ifuatavyo;

1. Tofauti na ilivyokuwa 2015 miamba miwili yaani Kikwete na Lowassa walikipasua chama na kuwa mapande mawili lakini mapande yenyewe yalianzia juu na baade kushuka chini taratibu, kipindi hiki cha 2020 ni kwamba ccm imepasuliwa na inaendelea kupasuliwa kila kona kuanzia juu hadi chini.

2. Zipo taarifa kwamba mkulu ana majina ya wabunge mkononi tayari ambayo ndiyo safu anayoitegemea ili kuisambaratisha katiba ya JMT akibahatika kupita
😳🤨😟
 
Aise...
Ngoja ninawe mikono nile ugali kwanza kabla haujapoa
 
Nikitazama mbele kuna mambo yatamshangaza Magu ktk uchaguzi huu kama ifuatavyo;

1. Tofauti na ilivyokuwa 2015 miamba miwili yaani Kikwete na Lowassa walikipasua chama na kuwa mapande mawili lakini mapande yenyewe yalianzia juu na baade kushuka chini taratibu, kipindi hiki cha 2020 ni kwamba ccm imepasuliwa na inaendelea kupasuliwa kila kona kuanzia juu hadi chini.

2. Zipo taarifa kwamba mkulu ana majina ya wabunge mkononi tayari ambayo ndiyo safu anayoitegemea ili kuisambaratisha katiba ya JMT akibahatika kupita

hiyo point # 1 inaonesha kabisa hujui siasa za Tanzania
Yaani kwa kutumia ufahamu wako na MAARIFA yako yote unaona kabisa kuna mtu wa chama CHOCHOTE wa kuweza kuleta ushindani kwa Magufuli mwaka huu???
Nakushauri utumie akili yako kidogo tu kwa kufikiria UPANDE WA PILI WA MAGUFULI ULE WA MAFANIKIO na sio kufikiria mabaya pekee; Mfano wa mafanikio ya kumbeba; Kufuta Ada mashuleni, maji maeneo mengi vijijini, umeme vijijini, vituo vya Afya vijijini; barabara za lami/changarawe vijini; fixed kodi ya elfu 20 kwa mama ntilie kwa mwaka; kuwarasimisha wamachinga sehemu nyingi tu wafanye biashaya kwa uhuru; Kuongeza uwajibikaji sehemu za kazi na huduma kutoka kwenye around 40% tuliyokuwepo hadi kwMnye around 70% na mengine meeeeengi....nakushauri usijifanye KIPOFU....
"Mnyonge mnyongeni ILA haki yake mpeni"
 
Ninakubaliana nawe kwa mazingira ya uchaguzi wa sasa, na siyo ndani ya uchaguzi huru na wa haki.
Labda Ni mgeni wa siasa,tangu uchaguzi wa Kwanza wa vyama vingi tanzania, CCM Ni ile ile na tume ya uchaguzi ipo vile vile Toka imeanzishwa wanao badilika ni viongozi tu na CCM ina shinda kila chaguzi Sasa ukisema tume sio huru Na kila chaguzi unashiriki nakukushangaa!!!
 
Umebwabwaja weeeeee

Unalipwa?

Hasira za nini?

Nilichomjibu yule jamaa ni kuwa zama za JPM nazo zitapita tu

Rais kuwa na wishful list ya anaowataka yeye ni common, ni natural na ndio nilimchomjibu huyo mwenzako anayesema ccm itakatika

Ulichoandika wewe ni nje ya mjadala

Pole ndugu

Stress zitakuua
Umeelewa nilichojibu hata kama utajifanya kukana mnachowafanyia waTanzania.
 
Nikitazama mbele kuna mambo yatamshangaza Magu ktk uchaguzi huu kama ifuatavyo;

1. Tofauti na ilivyokuwa 2015 miamba miwili yaani Kikwete na Lowassa walikipasua chama na kuwa mapande mawili lakini mapande yenyewe yalianzia juu na baade kushuka chini taratibu, kipindi hiki cha 2020 ni kwamba ccm imepasuliwa na inaendelea kupasuliwa kila kona kuanzia juu hadi chini.

2. Zipo taarifa kwamba mkulu ana majina ya wabunge mkononi tayari ambayo ndiyo safu anayoitegemea ili kuisambaratisha katiba ya JMT akibahatika kupita
"I shall never be old enough to speak without embarrassing myself when I have nothing to say".

Theodore Roosevelt
 
Back
Top Bottom