Ccm ya zamani bye bye. Knock knock new ccm.
Haijui ccm na atavuna anachopanda .Mimi naamini mkulu ana "LIST" mpaka ya mawaziri atakaowachagua. kuna watu ambao hawapo bungeni wala hawajawahi kuwa na mawazo ya kuwa wabunge,
ndio nliona jina lko wanataka uwe waziri wa maliasiliMimi naamini mkulu ana "LIST" mpaka ya mawaziri atakaowachagua. kuna watu ambao hawapo bungeni wala hawajawahi kuwa na mawazo ya kuwa wabunge,
Mimi naamini mkulu ana "LIST" mpaka ya mawaziri atakaowachagua ameiandaa. Kuna watu ambao hawapo bungeni wala hawajawahi kuwa na mawazo ya kuwa wabunge, wataambiwa wakachukue "FORM" wagombee (ambao hatuwategemei). Na pia sura zilizokuwepo bungeni nyingi hazirudi (acha wajifanye wanasifia kila kitu, wajipange kufa njaa mtaani - watashangaa watakavyokatwa majina yao).
Bunge lijalo kama mkulu atachukua nchi basi litakua la vibaraka wake tu, ambao ameshawapanga. Hawa wana lumumba waliokuwa bungeni wajiandae kutafuta "AJIRA MTAANI".
Bunge litapitia "OVERHAUL REPLACEMENT" ya hali ya juu, haijawahi kutokea. Kila mtu atakaeingia bungeni safari hii sura zitakua ni "MPYA" itakua kazi yao ni "KUSIFIA NA KUTUKUZA TU". Na wengi watakua ni "VITENGO MAALUM (Watu Wasiojulikana)".
CCM mjipange na mpangike, maana bado hamjatibiwa "WENDAWAZIMU VICHWANI". Muda wenu kushughulikiwa sasa akili ziwakae sawa, na mtakumbuka maneno ya "BERNAD CAMILUS MEMBE" ya kukatwa mkia.
hata bashiri aliwaza Sudan IPO hivyohvyo nahc unajua kichomkutaZama za mwinyi na akina kikwete zimepita
Za mkapa na JPM zitapita
Ndio iko hivyo
Mwambie mwanzisha maada, CCM iko hivyo miaka yote
Hii ngoma nzitoNikitazama mbele kuna mambo yatamshangaza Magu ktk uchaguzi huu kama ifuatavyo;
1. Tofauti na ilivyokuwa 2015 miamba miwili yaani Kikwete na Lowassa walikipasua chama na kuwa mapande mawili lakini mapande yenyewe yalianzia juu na baade kushuka chini taratibu, kipindi hiki cha 2020 ni kwamba ccm imepasuliwa na inaendelea kupasuliwa kila kona kuanzia juu hadi chini.
2. Zipo taarifa kwamba mkulu ana majina ya wabunge mkononi tayari ambayo ndiyo safu anayoitegemea ili kuisambaratisha katiba ya JMT akibahatika kupita