wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,455
- 4,395
hata
hata bashiri aliwaza Sudan IPO hivyohvyo nahc unajua kichomkuta
Boksa, Hastings, Mobutu, IDD Amin, President for life in the makingNikitazama mbele kuna mambo yatamshangaza Magu ktk uchaguzi huu kama ifuatavyo;
1. Tofauti na ilivyokuwa 2015 miamba miwili yaani Kikwete na Lowassa walikipasua chama na kuwa mapande mawili lakini mapande yenyewe yalianzia juu na baade kushuka chini taratibu, kipindi hiki cha 2020 ni kwamba ccm imepasuliwa na inaendelea kupasuliwa kila kona kuanzia juu hadi chini.
2. Zipo taarifa kwamba mkulu ana majina ya wabunge mkononi tayari ambayo ndiyo safu anayoitegemea ili kuisambaratisha katiba ya JMT akibahatika kupita
LOOooo, una haraka au hukuwa na muda wa kuichambua vyema mada yako!Nikitazama mbele kuna mambo yatamshangaza Magu ktk uchaguzi huu kama ifuatavyo;
1. Tofauti na ilivyokuwa 2015 miamba miwili yaani Kikwete na Lowassa walikipasua chama na kuwa mapande mawili lakini mapande yenyewe yalianzia juu na baade kushuka chini taratibu, kipindi hiki cha 2020 ni kwamba ccm imepasuliwa na inaendelea kupasuliwa kila kona kuanzia juu hadi chini.
2. Zipo taarifa kwamba mkulu ana majina ya wabunge mkononi tayari ambayo ndiyo safu anayoitegemea ili kuisambaratisha katiba ya JMT akibahatika kupita
Siyo sifa kuwa na upinzani dhaifu, ukizingatia wapinzani kutwa wanalazwa mahabusu, hata wakiamua kuwaachia ccm peke yao, bado mtalumbana wenyewe na hapo ndio tamati ya nchi itakuwa ishafika.Hizo Ni ndoto za alinacha, CCM sio kijichama Kama act. chadema.ccm sio ya kufa Leo au kesho,labda miaka 100 mbele.hakuna Sacco's ya kupimana ubavu na CCM,hakuna kiumbe anae weza kumshinda mgombea uraisi wa CCM, hajazaliwa bado.
Na kwa sababu ya ulevi wa madaraka uliowaingia akilini, mnafikiri Tanzania ipo 'static', ikisubiri kila ujinga mtakaowafanyia waTanzania waukubali!Zama za mwinyi na akina kikwete zimepita
Za mkapa na JPM zitapita
Ndio iko hivyo
Mwambie mwanzisha maada, CCM iko hivyo miaka yote
Wewe liongo. Ni ukweli wenye vinasaba na mabeberu wote lazima wakatwe (kumbuka nchi ka USA, UK, China, Canada, European Union etc) wapo kwenye mikakati wa kuweka watu wao ili waweze kupitisha vitu vyao vya kiwizi wizi. Na ndiyo maana nchi ipo pahala salama kabisa, maana Dkt JPM ni mzalendo hana bei! Tumuunge mkono (kama hutaki utakufa na Tz haitakukumbuka ktk historia).Mimi naamini mkulu ana "LIST" mpaka ya mawaziri atakaowachagua ameiandaa. Kuna watu ambao hawapo bungeni wala hawajawahi kuwa na mawazo ya kuwa wabunge, wataambiwa wakachukue "FORM" wagombee (ambao hatuwategemei). Na pia sura zilizokuwepo bungeni nyingi hazirudi (acha wajifanye wanasifia kila kitu, wajipange kufa njaa mtaani - watashangaa watakavyokatwa majina yao).
Bunge lijalo kama mkulu atachukua nchi basi litakua la vibaraka wake tu, ambao ameshawapanga. Hawa wana lumumba waliokuwa bungeni wajiandae kutafuta "AJIRA MTAANI".
Bunge litapitia "OVERHAUL REPLACEMENT" ya hali ya juu, haijawahi kutokea. Kila mtu atakaeingia bungeni safari hii sura zitakua ni "MPYA" itakua kazi yao ni "KUSIFIA NA KUTUKUZA TU". Na wengi watakua ni "VITENGO MAALUM (Watu Wasiojulikana)".
CCM mjipange na mpangike, maana bado hamjatibiwa "WENDAWAZIMU VICHWANI". Muda wenu kushughulikiwa sasa akili ziwakae sawa, na mtakumbuka maneno ya "BERNAD CAMILUS MEMBE" ya kukatwa mkia.
Membe ana impact Sana kusini mtumia nguvu hakulifikilia Hilo.Nikitazama mbele kuna mambo yatamshangaza Magu ktk uchaguzi huu kama ifuatavyo;
1. Tofauti na ilivyokuwa 2015 miamba miwili yaani Kikwete na Lowassa walikipasua chama na kuwa mapande mawili lakini mapande yenyewe yalianzia juu na baade kushuka chini taratibu, kipindi hiki cha 2020 ni kwamba ccm imepasuliwa na inaendelea kupasuliwa kila kona kuanzia juu hadi chini.
2. Zipo taarifa kwamba mkulu ana majina ya wabunge mkononi tayari ambayo ndiyo safu anayoitegemea ili kuisambaratisha katiba ya JMT akibahatika kupita
Wahamiaji haramu na waimba kwaya kumuabudu mtu sababu ya njaa ndo mnawataka.Sisi sio zizi lenu.Awamu hii lazima tumchague mtanzania mwenzetu mzawa.Wewe liongo. Ni ukweli wenye vinasaba na mabeberu wote lazima wakatwe (kumbuka nchi ka USA, UK, China, Canada, European Union etc) wapo kwenye mikakati wa kuweka watu wao ili waweze kupitisha vitu vyao vya kiwizi wizi. Na ndiyo maana nchi ipo pahala salama kabisa, maana Dkt JPM ni mzalendo hana bei! Tumuunge mkono (kama hutaki utakufa na Tz haitakukumbuka ktk historia).
Sifa iliyo baki Ufioani ni Uganga wakienyeji kupiga LamliNikitazama mbele kuna mambo yatamshangaza Magu ktk uchaguzi huu kama ifuatavyo;
1. Tofauti na ilivyokuwa 2015 miamba miwili yaani Kikwete na Lowassa walikipasua chama na kuwa mapande mawili lakini mapande yenyewe yalianzia juu na baade kushuka chini taratibu, kipindi hiki cha 2020 ni kwamba ccm imepasuliwa na inaendelea kupasuliwa kila kona kuanzia juu hadi chini.
2. Zipo taarifa kwamba mkulu ana majina ya wabunge mkononi tayari ambayo ndiyo safu anayoitegemea ili kuisambaratisha katiba ya JMT akibahatika kupita
CCM ni underated brutal joka, ndui.
Wanaidanganya Dunia with the fake term limits.
Ukitoa hiyo term limits, Tanzania hakuna tofauti na Rwanda.
Tunazidiwa hata na Uganda Na Burundi
Kwa kubebwa na si kwa kuraHii tz ya Mitandaoni nina uhakika jpm anaahindwa uchaguzi saa 2 asubuhi...
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Vitu mnavyoji-program vichwani ndio vitakavyowaletea stress October.Ccm ni CCM haitakiwi kabisa na watanzania ndio maana hata wajumbe wao wa mashina wanapigiwa simu na polisi na usalama kuatend vikao.
Na kwa sababu ya ulevi wa madaraka uliowaingia akilini, mnafikiri Tanzania ipo 'static', ikisubiri kila ujinga mtakaowafanyia waTanzania waukubali!
Hiyo ndiyo sababu ya 'tone' inayoonekana katika maandishi yako hapa.
Yaani mmewafanya waTanzania mateka wenu, na matarajio yenu ni kwamba hawawezi kukataa kufanywa mateka!
Bure kabisa!
Hicho ndicho anachowaandalia wana CCM,anajiandaa kuwa Rais wa maisha na tusipoiangusha CCM Tanzania inaingia katika nchi zitakazotawaliwa kiimla.Hatua hiyo ikitimia,hakuna atakayesalimika hakika.Tuchakue hatua sasa maana wakifanikisha hilo hatutakuwa na namna nyingine ya kujiokoa tena.Mimi naamini mkulu ana "LIST" mpaka ya mawaziri atakaowachagua ameiandaa. Kuna watu ambao hawapo bungeni wala hawajawahi kuwa na mawazo ya kuwa wabunge, wataambiwa wakachukue "FORM" wagombee (ambao hatuwategemei). Na pia sura zilizokuwepo bungeni nyingi hazirudi (acha wajifanye wanasifia kila kitu, wajipange kufa njaa mtaani - watashangaa watakavyokatwa majina yao).
Bunge lijalo kama mkulu atachukua nchi basi litakua la vibaraka wake tu, ambao ameshawapanga. Hawa wana lumumba waliokuwa bungeni wajiandae kutafuta "AJIRA MTAANI".
Bunge litapitia "OVERHAUL REPLACEMENT" ya hali ya juu, haijawahi kutokea. Kila mtu atakaeingia bungeni safari hii sura zitakua ni "MPYA" itakua kazi yao ni "KUSIFIA NA KUTUKUZA TU". Na wengi watakua ni "VITENGO MAALUM (Watu Wasiojulikana)".
CCM mjipange na mpangike, maana bado hamjatibiwa "WENDAWAZIMU VICHWANI". Muda wenu kushughulikiwa sasa akili ziwakae sawa, na mtakumbuka maneno ya "BERNAD CAMILUS MEMBE" ya kukatwa mkia.
Kwa kubebwa na si kwa kura
Act na cuf watazigawa kura za kusini, hamna impact sana! Majaliwa ana impact zaidi kusini!Membe ana impact Sana kusini mtumia nguvu hakulifikilia Hilo.
Hili la kuamini kila kitu ni nguvu nguvu tu ndo litakipasua chama la kuwachagulia watu awatakao yaani wahamiaji na waimba kwaya ili wamsaidie kubadili katiba sababu ya njaa badala ya utaifa hapa chochote kinaenda tokea.Bada ana mawazo ya kizamani kuamini dola inaweza shinda umma Hali nao ni sehemu ya umma kiuchumi Wana dhoofu Hali.
Jf raha sana...Hicho ndicho anachowaandalia wana CCM,anajiandaa kuwa Rais wa maisha na tusipoiangusha CCM Tanzania inaingia katika nchi zitakazotawaliwa kiimla.Hatua hiyo ikitimia,hakuna atakayesalimika hakika.Tuchakue hatua sasa maana wakifanikisha hilo hatutakuwa na namna nyingine ya kujiokoa tena.
Udikteta utawamaliza.Nikitazama mbele kuna mambo yatamshangaza Magu ktk uchaguzi huu kama ifuatavyo;
1. Tofauti na ilivyokuwa 2015 miamba miwili yaani Kikwete na Lowassa walikipasua chama na kuwa mapande mawili lakini mapande yenyewe yalianzia juu na baade kushuka chini taratibu, kipindi hiki cha 2020 ni kwamba ccm imepasuliwa na inaendelea kupasuliwa kila kona kuanzia juu hadi chini.
2. Zipo taarifa kwamba mkulu ana majina ya wabunge mkononi tayari ambayo ndiyo safu anayoitegemea ili kuisambaratisha katiba ya JMT akibahatika kupita
Cuf ilishakufa kusiniAct na cuf watazigawa kura za kusini, hamna impact sana! Majaliwa ana impact zaidi kusini!